Tulimumu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 14,395 Reaction score 13,273 May 21, 2015 #1 Imeripotiwa kuwa baadhi ya wanawake wilayani Rombo mkoa wa Kilimanjaro, wanalazimika kwenda kukodi wanaume nchini Kenya ili kufanya nao ngono kutokana na waume zao kuendekeza ulevi kiasi kwamba wanashindwa kuwatimizia wake zao mahitaji ya unyumba.
Imeripotiwa kuwa baadhi ya wanawake wilayani Rombo mkoa wa Kilimanjaro, wanalazimika kwenda kukodi wanaume nchini Kenya ili kufanya nao ngono kutokana na waume zao kuendekeza ulevi kiasi kwamba wanashindwa kuwatimizia wake zao mahitaji ya unyumba.