Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,972
- 30,154
Hujajibu kwanini vilishindikana utawala uliopita??kama serikali kuhamia dodoma rasmi na pia kutumbua majipu
Hujajibu kwanini vilishindikana utawala uliopita??kama serikali kuhamia dodoma rasmi na pia kutumbua majipu
Uamuzi huo ni mzuri lakini sio wa mdomoni tuu bali unahitaji pesa nyingi na mipango endelevu.Magufuli atawezesha kila kilichosnindikana kwenye utawala wa awamu zilizopita.
Kwahiyo unaweza kutuambia hii miaka 40 kutohamia Dodoma kumepunguza nini? Utandawazi usiwaze programming nk. Hebu tujiulize ni huduma zipi wananchi wanasafiri kuzifuata Dar es Salaam? Zamani baadhi ya malipo ilikuwa lazima watu waende Dar es Salaam. Utandawazi ni kuimarika kwa mfumo mabenki (fedha), mawasiliano (mobile money), kupashana habari na kwa ujumla wake ni upatikanaji wa huduma. Miaka 40 iliyopita hali ilikuwa tofauti na ya sasa. hatuwezi kutimiza kila jambo kwa kuwa liliwazwa miaka 40 iliyopita. Liko wapi Azimio la Arusha? Agizo la Musoma je? UPE, nk
Utawala wa chama gani?Magufuli atawezesha kila kilichosnindikana kwenye utawala wa awamu zilizopita.
Huwezi kupata huenda umvue mtu, ni sawa na kuuliza kiwanja bei gani magomeni mapipaDodoma kiwanja bei gani maeneo ya kizota?
Hapo ilipo ndipo original office premises ya RITA (Ofisi za Kabidhi Wasihi Mkuu wa Serikali). Mtaa wa Kalenga/Muhimbili ilikuwa ofisi ya muda wakisubiri Ujenzi wa ofisi yao kukamilika, over.RITA wameitoa Muhimbili wakaipeleka Posta
Magufuli atawezesha kila kilichosnindikana kwenye utawala wa awamu zilizopita miaka 55 baada ya uhuru.Hila hapa lazima tuvuke hakuna namna.
JPM ni Mwarobaini kwa kila ambalo tunalitaka, hakuna msamiati wa kushindwa
Dodoma itakuwa powa sana. Sio kwetu ili nathani na nina imani watz wote watanufaika.
Watafute wataalamu kupangilia miji na sio kuleta mambo ya kiswahili.
Mji uwe kama malaysia bana alaah
Uamuzi huo ni mzuri lakini sio wa mdomoni tuu bali unahitaji pesa nyingi na mipango endelevu.
La ajabu ni kuwa katika mpango wa maendeleo wa miaka mitano aliousoma bungeni waziri Mpango jambo hilo halikuwepo sasa Magufuli kalitoa kichwani tuu ili kufurahisha mkutano wa ccm?
Hapo ndipo kwenye mashaka na kauli za kukurupuka
Chochote atakachofanikisha mimi niko tayari kukuwowa kabisa!!Magufuli atawezesha kila kilichosnindikana kwenye utawala wa awamu zilizopita.
Mwezi wa Tisa, ofisi ya waziri mkuu itakuwa Dodoma. Unalingine?This move is long overdue...tayari tumechelewa...hili zoezi linapaswa kuanza 'with immediate effect'
ni kweli, pia amewezesha kuwaondoa watumishi hewa zaidi ya 12,000. kukusanya mapato kwa wastan wa 1.2 trillion kwa mwezi. kupunguza paye kuwa 9%, na mengine mengi sana.Na kweli kwakua amewezesha sukari kutoka kwenye shilingi 1800 kwa kilo moja na kufika sh 2500 kwa kilo!
Umeacha hela nyumbani Leo.....Magufuli atawezesha kila kilichosnindikana kwenye utawala wa awamu zilizopita.