Safari ya nchi kuhamia Dodoma yaanza rasmi

Safari ya nchi kuhamia Dodoma yaanza rasmi

Inaonekana hawajui kuwa hawana cha kufanya (tangible)
Kubeba makabati, makabinet, makabrasha ndio IONEKANE WANAFANYA KAZI.

Makonda kawafukuza Omba omba! Magufuli kaamua kuwafuata huko huko kwao.

Wachina wajenge kiwanda cha kutengeneza mabakuli mazuri ya kuombea.
 
Magufuli atawezesha kila kilichosnindikana kwenye utawala wa awamu zilizopita.
Uamuzi huo ni mzuri lakini sio wa mdomoni tuu bali unahitaji pesa nyingi na mipango endelevu.
La ajabu ni kuwa katika mpango wa maendeleo wa miaka mitano aliousoma bungeni waziri Mpango jambo hilo halikuwepo sasa Magufuli kalitoa kichwani tuu ili kufurahisha mkutano wa ccm?
Hapo ndipo kwenye mashaka na kauli za kukurupuka
 
Kwahiyo unaweza kutuambia hii miaka 40 kutohamia Dodoma kumepunguza nini? Utandawazi usiwaze programming nk. Hebu tujiulize ni huduma zipi wananchi wanasafiri kuzifuata Dar es Salaam? Zamani baadhi ya malipo ilikuwa lazima watu waende Dar es Salaam. Utandawazi ni kuimarika kwa mfumo mabenki (fedha), mawasiliano (mobile money), kupashana habari na kwa ujumla wake ni upatikanaji wa huduma. Miaka 40 iliyopita hali ilikuwa tofauti na ya sasa. hatuwezi kutimiza kila jambo kwa kuwa liliwazwa miaka 40 iliyopita. Liko wapi Azimio la Arusha? Agizo la Musoma je? UPE, nk

EXCELLENT!!
 
Dodoma itakuwa powa sana. Sio kwetu ili nathani na nina imani watz wote watanufaika.
Watafute wataalamu kupangilia miji na sio kuleta mambo ya kiswahili.
Mji uwe kama malaysia bana alaah
 
RITA wameitoa Muhimbili wakaipeleka Posta
Hapo ilipo ndipo original office premises ya RITA (Ofisi za Kabidhi Wasihi Mkuu wa Serikali). Mtaa wa Kalenga/Muhimbili ilikuwa ofisi ya muda wakisubiri Ujenzi wa ofisi yao kukamilika, over.
 
Wizara zenyewe hazizidi ishirini na mbili, Kwa hiyo kuhamia huko ni rahisi.
Kumbuka sio lazima kuhamisha taasisi zote kama EWURA, TANESCO ,TPDC, TRA, TPA TIC EPZ hizi zinawezza kuendelea kukaa mji wa kibiashara na kumbuka taasisi hizi zinajitegemea kwa asilimia kubwa na zinategemea wafanyabiashara.
Sana sana tuhamishe wizara zote na mahakama kuu, lakini hili liende sambamba na ujenzi wa reli ya kati ya kisasa ili kuweza kurahisisha usafiri wa watu na mizigo katika Dodoma na Dar.
 
Hakika hii nchi ina matapeli wa kila aina, hivi kazi ya CDA ni nini? Rugimbana punguza utapeli.
 
Dodoma itakuwa powa sana. Sio kwetu ili nathani na nina imani watz wote watanufaika.
Watafute wataalamu kupangilia miji na sio kuleta mambo ya kiswahili.
Mji uwe kama malaysia bana alaah
Uamuzi huo ni mzuri lakini sio wa mdomoni tuu bali unahitaji pesa nyingi na mipango endelevu.
La ajabu ni kuwa katika mpango wa maendeleo wa miaka mitano aliousoma bungeni waziri Mpango jambo hilo halikuwepo sasa Magufuli kalitoa kichwani tuu ili kufurahisha mkutano wa ccm?
Hapo ndipo kwenye mashaka na kauli za kukurupuka

Tatizo mkuu watu wanakurupuka, kusema kweli huo mpango haupo kwenye five years develipment plan, hiyo pesa inatoka wapi. Badala kutekeleza vipaumbele vya mpango wa miaka mitano tunashadadia makao makuu yahamie Dodoma, what is the added advantage ya makao makuu kuwa Dodoma, je itaongeza ufanisi wa serikali ama? Pesa zitatoka wapi? Watanzania tunatakiwa at the end of every finacial year tuulize ni kwa kiasi gani mpango wa miaka mitano unatekelezwa? an hadi ifikapo 2020 ndio tunaweza kufanya tathmini ya jumla ya ni kwa vipi serikali yetu imeweza kutekeleza mpango huo ili tuweze kufanya maamuzi sahihi.
 
Na kweli kwakua amewezesha sukari kutoka kwenye shilingi 1800 kwa kilo moja na kufika sh 2500 kwa kilo!
ni kweli, pia amewezesha kuwaondoa watumishi hewa zaidi ya 12,000. kukusanya mapato kwa wastan wa 1.2 trillion kwa mwezi. kupunguza paye kuwa 9%, na mengine mengi sana.
 
Aiseee hivi Viwanda vimejengwa vingapi hadi sasa?
 
Back
Top Bottom