Kwa nini hiki kipande wanalidharau? Mimi nilipita hiyo njia 1998 kutoka mtwara kwenda mbeya ilikua ni mbaya hatari fast forward more than 20yrs hali ni ileile??Nilisafiri hiyo njia mwaka 2014, sijawahi kusafiri safari mbaya kama ile. Mvua ilikuwa inanyesha halafu barabara mbaya. Ni umbali wa km 250 kutoka Tunduru hadi Songea, lakini tulitoka saa 12 asubuhi tukaishia Namtumbo saa 4 usiku. Wengine magari yaliishia kukwama kwwnye matope.
Sijui kama wameshachonga ile barabara
Nilisafiri hiyo njia mwaka 2014, sijawahi kusafiri safari mbaya kama ile. Mvua ilikuwa inanyesha halafu barabara mbaya. Ni umbali wa km 250 kutoka Tunduru hadi Songea, lakini tulitoka saa 12 asubuhi tukaishia Namtumbo saa 4 usiku. Wengine magari yaliishia kukwama kwwnye matope.
Sijui kama wameshachonga ile barabara
Nenda, kwa sasa barabara ina lami sehemu kubwa, kuna kama KM 100 zimebaki toka Tunduru hadi Kilimasera baada ya hapo ni lami tu Mchomoro hafi unafika Songea kupitia Namtumbo, na wakandarasi wapo site incase ukikwama unawapigia tu wanakuja kukutoa isitoshe sehemu kubwa inapitika, nakutakia safari njema, kwa basi ni parefu ia Private car toka Tunduru hadi Songea ni masaa 7 tu
songea nyumba za kulala salama nyingi sana watu wakule wakarimu mno.alafu kwenye budget yako elfu hamsini kwa kulala kubwa sana ukiwa na 15 au 20 unalala kwenye bonge la lodge yani safi kbsa .maisha ya kule rahisi sana.mvua kusini hakuna
Zipo mkuu kama vile, Top One Inn, Ugabe Hotel, Heritage Cottege Hotel, Agopel Hotel, n.k. Karibu sanaNaomba majina yake mkuu kama nyumba mbili au tatu zenye viwango vizuri
Kama kuna mvua usijaribu kabisa,,,,,,,,,ingawa wapo wachina ila sehemu iliyo nzuri ni ndogo sana.Pia hakuna bus la masasi songea au tunduru.Gari inatakiwa land cruiser mkonga.Lodge Africando sh15000 pazuri karibu na huduma za bar na maofisiWaungwana ninatajia kusafiri mikoa ya kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma kikazi; kusudio la waraka huu ni kuomba kupatiwa taarifa kwa yeyote anayeijua barabara inayotoka Masasi, Nanyumbu, Tunduru hadi Songea kama inapitika kipindi hiki cha mvua, na kama inapitika ni basi gani zuri linalofanya safari zake kutoka Mtwara/Masasi hadi Songea. Sina tatizo na sehemu ya kulala Lindi, Mtwara na Masasi lakini Songea ni mgeni kabisa naomba kujua hotel au lodge nzuri ya kulala wageni bei yake isizidi 50,000 kwa siku.
Naona wadau wanakupa maoni kirahisi sana,nimepita mara mbili mwez uliopita hali ni mbaya mvua ikinyesha,ukitaka uhalisia niPM namba yako ila usisahau mkate,maji na juis pia uvae sendo au mabuti kwan kuna kusukuma gari in case mvua ikinyesha
Kama kuna mvua usijaribu kabisa,,,,,,,,,ingawa wapo wachina ila sehemu iliyo nzuri ni ndogo sana.Pia hakuna bus la masasi songea au tunduru.Gari inatakiwa land cruiser mkonga.Lodge Africando sh15000 pazuri karibu na huduma za bar na maofisi