heshima kwenu wakuu..
kila mtu anatambua historia ya siasa ya MH.e.lowasa.aliingia kwenye siasa tokea 1977.mwaka 1995 alijaribu kutaka kugombea uraisi kupitia ccm lkn akakatwa.mwl.nyerere aliongoza jopo la kumkata lowasa kwenye kinyan'ganyiro hicho.
lowasa amejaribu mara kadhaa kuwania kuteuliwa kugombea uraisi kupitia ccm bila mafanikio.
Tar 28 mwz wa 7 lowasa aliamua kujiunga chadema na kuteuliwa kupeperusha bendera. ya uraisi kupitia chama hicho.Cha kushangaza lowasa anaonekana kuwa na bahati mbaya kwani kapata nafasi ya kugombea uraisi lakini anakutana na kisiki cha mpingo,tingatinga.Anapambana na mtu anayekubalika ktk jamii kwa utendaji wake na uadilifu wake.Anapambana na mtu ambaye kwa nature ya Tanzania ya sasa anahitajika kuliongoza taifa hili.Dr.magufuli ni namba nyingine,ni namba itakayozima ndoto na matumaini ya muda mrefu ya lowasa kuwa raisi wa nchi hii.upepo ushaanza kujionyesha,Dr.magufuli anaongoza ktk tafiti mbalimbali...na mimi naomba ni seme hivi.......
NI DHAHIRI SHAHIRI KUWA,NI SUALA LA MUDA TU,SAFARI YA LOWASA KISIASA KUZIMIKA KAMA MSHUMAA 25/OCT.
mungu ibariki áfrica
mungu ibariki Tanzania