Safari ya kutia mguu TCU kesho

Thebony

Member
Aug 16, 2012
92
2
Jesho nakwenda kwa ghazabu huko tcu ikiwezekana waniambie kama napata chuo au laah! nimechoka maumivu ya moyo
 
Mkuu utakuwa umefanya la maana,kama vp ukifanikiwa utupeupdates wanasemaje coz huku kijijini nifull mapressure
 
Back
Top Bottom