Safari ya kufuata mhogo

Katika maisha tunapitia changamoto nyingi mnoo [emoji16]. Ila tumepewa zawadi ya mapenzi na Muumba Ili kupunguza uchungu tunaokutana nao katika safar nzima ya maisha
Usipende kufuatilia mambo ya watu, tafuna muhogo ukimaliza rudi kwa yule wa Tunduma
 
Ndo unapigiwa hivyoo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa baba mzuri nitakuombea🤩
 
Moro mwingine kabla sijaolewa yaan nikiwa kwenye utafutaji mume
Ulikua unatafuta mume kama mbuzi wa kuchinja??
Hapo ndipo mnafeli
Nan aliwaambia mke/mume anatafutwa??amekua mbuzi au pesa??

Daaah polen somen Bible muelewe jins yakupata mwenzi wako
 
Utakavyotaka kusema na useme,,, mxiiiieeew
Legendari
Huyo mzee akiugua usimkimbie
Maana ndiyo tabia zenu nyie slay queen
Laana haita kuacha
Na Mimi nasema laana ikupate milele ukimtelekeza huyo mzee
 
Baby ndo umekuja kunitangaza uku si uliondoka mwenyewe Njiro tena bila kuniaga huo ni uungwana kweli?
 
Legendari
Huyo mzee akiugua usimkimbie
Maana ndiyo tabia zenu nyie slay queen
Laana haita kuacha
Na Mimi nasema laana ikupate milele ukimtelekeza huyo mzee
Hao wanaitwa wasimbe
 
Mama akirud penshen inaingia,miaka 61 tu,pitia Moro hapa tufuatane twende mbinguni tukazitumie na kupoza machungu
 
Legendari
Huyo mzee akiugua usimkimbie
Maana ndiyo tabia zenu nyie slay queen
Laana haita kuacha
Na Mimi nasema laana ikupate milele ukimtelekeza huyo mzee
Ungekuwa makini na kwenye kutafuta hela km huu ushauri ungekuwa mbali Sana,,

Sasa Ni hivi,, sio mzee kiasi hicho, anayo zaidi ya miaka 15 kufikia umri wa kustaafu,, na mi ni mke kwa kiapo cha kanisani,, laana yako baki nayo
 
We ni sehemu ya wapambanaji hapo pambano limekushinda unalalamika ukifika tunduma karibia hapa isongole tujadili vizri juu ya hili tatizo lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…