Safari ya kufuata mhogo

Umeshachezea de libolo
 
Ni baadhi tu wamejitwika ufilauni na usodoma ndani Yao kwa hatua niliofikia ntajipatia Mzee mmoja maridad kabisa niwe nimemaliza mahangaiko ya Dunia ibaki kuangaikia ufalme wa mbingun
Mi natafuta ufalme wa mbinguni njoo ule mema ya nchi achana na vinuka boksa watakufanya ujione una nuksi
 
Kumbe mimi na miaka yangu 54 naweza kuja DM 😜😜
 
Ni baadhi tu wamejitwika ufilauni na usodoma ndani Yao kwa hatua niliofikia ntajipatia Mzee mmoja maridad kabisa niwe nimemaliza mahangaiko ya Dunia ibaki kuangaikia ufalme wa mbingun
Kuna mzee mmoja muungwana sana na anajua kutunza sana...sema nikuunge naye
 
Npo kwa gar narud zangu kwangu hamu na mwanaume Sina nimeshavuliwa nguo vyakutosha
Kweli imeandikwa " utapewa wa kufanana"
Huyo unayemsema ni wako kabisa kwani naye anawavua kweli kweli.
Baki naye
 
Ni katika harakati tu za kutafuta rizki ndo tunajikuta tunatongoza kila sehem maana tukipata tunakula tukikosa tunalala, chuga ni republic vipaombele vyetu ni tofaut kabisa kwanza hamna mahaba, mahaba yako daslam
 
Arusha mbona ni hapo tu watu wanafata Mihogo hadi Ulaya soko likiwa zuri
 
Pole...........Ila samaki mmoja akioza mtoe mtupe wengine kamulia ndimu.......utanishukuru baadaye PM
 
WANAWAKE wa Mbeya ,Songea ,Tunduma wanapenda mihogo sana pongeni kwenu
 
[emoji28][emoji28][emoji28]poleh sana
 
Show ikiwa mbovu,Visingizio vinakuwa vingi sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…