Lekachonka
Member
- Dec 17, 2016
- 35
- 17
Tangu ametangulia jamaa mpaka leo kimyaaaa...Huwa najiuliza kama ikitokea uchaguzi ujao akashinda Rais mwingine ndani ya Chama dola ama akitokea Chama cha upinzani. Alafu mtu huyu naye akaja na wazo la kuhamishia Makao makuu ya Tanzania kwenye mkoa anaoufahamu yeye kwa sababu zake mwenyewe. Je,atakuwa sahihi? Hili suala la kuhamia Dodoma linafanyika ili kumuenzi Mwalimu Nyerere ama linafanyika kwasababu linatakiwa lifanyike?
Sababu zilizoleteleza wazo hilo wakati wa Nyerere kweli bado zipo nyakati hizi za JF na Mitandao mingine mingi ? Enzi za kutuma barua kwenye gari ili ikadondoshwe kijijini iokotwe hadi kwa mhusika ilikuwa ndio chachu ya maamuzi. Bado tuna sababu kuntu kuhamia Dodona kwa rational thinkers ?Mh. Rais yupo sahihi kusisitiza kuhamia Dodoma. Pia sababu za kuhamia ni za msingi. Tatizo watendaji na jamii inaonekana hawapendi mabadiliko mema. Kumbuka hata Wizara nyingi zilisikia na kutangaza kuhamia. Na zingine wakasema watakaa UDOM, mara usanii ukaanza kwa kuwatoa wapangaji wa nyumba za CDA ili waingie watakaokuja Dodoma. Wengine wakasema eti ndani ya siku chache tutahamia.
Leo, hamuuuuuunnnnaaaa hamuna kitu. Wote tupo Dar.
Hii ni sambamba na usafi wa mwisho wa sijui mwezi nao umeota mabawa, wakati Rwanda bado ni kusafi.
Mh. Rais ana nia njema, ila watendaji wana mng'en'gena. Ni waongo na wana msamifu. Nguvu na moyo wa uzalendo anayo mtu mmoja tu, wengine ni wabishi kugeuka.
Mh. Rais yupo sahihi kusisitiza kuhamia Dodoma. Pia sababu za kuhamia ni za msingi. Tatizo watendaji na jamii inaonekana hawapendi mabadiliko mema. Kumbuka hata Wizara nyingi zilisikia na kutangaza kuhamia. Na zingine wakasema watakaa UDOM, mara usanii ukaanza kwa kuwatoa wapangaji wa nyumba za CDA ili waingie watakaokuja Dodoma. Wengine wakasema eti ndani ya siku chache tutahamia.
Leo, hamuuuuuunnnnaaaa hamuna kitu. Wote tupo Dar.
Hii ni sambamba na usafi wa mwisho wa sijui mwezi nao umeota mabawa, wakati Rwanda bado ni kusafi.
Mh. Rais ana nia njema, ila watendaji wana mng'en'gena. Ni waongo na wana msamifu. Nguvu na moyo wa uzalendo anayo mtu mmoja tu, wengine ni wabishi kugeuka.
Mnaongea bila kutafiti. Kutokusoma kwako ndio kunakuaminisha inchi haina Mipango. Kamuulize hata mnyika ama mbunge yeyote atakuambia kila mwaka wanapitisha mpango wa serikali kwa mwaka husika unaoenda kuandaliwa bajeti na kuwasilishwa bungeni. Kila serikali inapoanza lazima iwasilishe bungeni mpango wa miaka mitano. Sasa wewe uko dunia gani. Kutokujua kwako ndio kunakuaminisha hivyo ama umejitoa akiliNchi Haina Vipaumbele Kwasasa, Tunaenda Tu Kwa Matamko Ya Mkuu
Limefanywa kukimbia harufu ya samaki na fujo za wavuvi na wateja wao pia kiusalama wanahisi Adui anaweza kuja na Nyambizi usiku akaleta hujuma kupitia baharini maana JWTZ hawana nyambizi ambayo ni gharama kuimiliki ndipo akaona bora aende Dodoma wapeleke misafara huko angalau foleni ipungue jiji Dsm ,lakini bajeti ya kuhamia Dodoma bado inawasumbua kwani pesa nyingi za maendeleo kapewa Lipumba azitumie kudhoofisha Ukawa na zingine wamenunulia ndege.Huwa najiuliza kama ikitokea uchaguzi ujao akashinda Rais mwingine ndani ya Chama dola ama akitokea Chama cha upinzani. Alafu mtu huyu naye akaja na wazo la kuhamishia Makao makuu ya Tanzania kwenye mkoa anaoufahamu yeye kwa sababu zake mwenyewe. Je,atakuwa sahihi? Hili suala la kuhamia Dodoma linafanyika ili kumuenzi Mwalimu Nyerere ama linafanyika kwasababu linatakiwa lifanyike?
Mkuu pesa za Dodoma zimepigwa kuanzia siku nyingi sana na CDA kila mwaka wa pesa ilitoka pesa ya kuijenga Dodoma tokea kipindi cha Nyerere mpaka awamu zote zilizofuata lakini pesa ilipigwa na Wajanja baada ya kugundua kuwa serikali hawakuwa tayari kuhamia huko,hata sasa Wajanja wameshapenya Dodoma dili lazima ziwepo watanzania ni wepesi wa kutumia fursa.watu waliamua kufungua mirija mingingine ili wazitumbue
Mkuu wazo la kuhamia Dodoma ni la miaka ya sabini, pengine mimi na wewe tulikuwa hatujazaliwa.Nchi Haina Vipaumbele Kwasasa, Tunaenda Tu Kwa Matamko Ya Mkuu
mmhhh.... kaaazi kweli kweliMkuu pesa za Dodoma zimepigwa kuanzia siku nyingi sana na CDA kila mwaka wa pesa ilitoka pesa ya kuijenga Dodoma tokea kipindi cha Nyerere mpaka awamu zote zilizofuata lakini pesa ilipigwa na Wajanja baada ya kugundua kuwa serikali hawakuwa tayari kuhamia huko,hata sasa Wajanja wameshapenya Dodoma dili lazima ziwepo watanzania ni wepesi wa kutumia fursa.
Tatatizo mnaongea kama mpo kijiweni
Kuhamia Dodoma ni sera ya ccm tokea miaka ya 70.
Watu wanahamia kweli,juzi kuna mjomba wangu kaondoka rasmi jijini.
Nyie pigeni soga watu wapo kazini