Safari njema

Ila hiyo Serikali yao ina akili za ki sisiemu, kama waliweza kuijenga hiyo barabara ktk hali hiyo kwanini wameshindwa kuitanua ??
 
Kuna udereva na kuna kujua kuendesha gari, ni vitu tofauti hivyo, dereva hapo wala hawazii chochote na sigara anavuta kwa starehe, ila kama we ni wakujua kuendesha tu lazima miguu ijae maji.
 
Kuna udereva na kuna kujua kuendesha gari, ni vitu tofauti hivyo, dereva hapo wala hawazii chochote na sigara anavuta kwa starehe, ila kama we ni wakujua kuendesha tu lazima miguu ijae maji.
Mkuu kasampaida hili wazo lako natamani kulitambulisha kikosi cha usalama barabarani ili kuwatambua madereva na wanaojua kuendesha gari nadhani itapunguza ajali barabarani
 
Mkuu kasampaida hili wazo lako natamani kulitambulisha kikosi cha usalama barabarani ili kuwatambua madereva na wanaojua kuendesha gari nadhani itapunguza ajali barabarani

Kama una nafasi hiyo rukhsa Mkuu, wengi wapo barabarani wanajua tu kuendesha magari lakini madereva ni wachache sn, wao hilo wakilisimamia ajali zitapungua sana kama sio kwisha kabisa.
 
kupatwa kwa basi ama mlima..?
 
Ee Mungu utusaidie viongozi wetu walijulishe hili kwa watu

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app

Niliwahi kupanda bus siku 1 kwenda mkoa, nikakaa siti ya nyuma ya dereva, bahati yule dereva akawa ananifahamu, lakini ile namna ya uendeshaji wake ikawa ni wasiwasi tu, tulipofika mlandizi akajichanganya nimsaidie kuendesha, nikachukua bus pale nikaenda mpk hotelini wanapokula chakula, kuanza Safari tena mi nikarudi kwenye siti yangu ya mwanzo ili dereva aendelee na bus lake, dah! Abiria wote waligoma wakaomba dereva muhusika aendelee kupumzika mimi nimalizie Safari, nikarudishiwa na nauli na posho zikatolewa za ahsante. Usalama barabarani faini sio suluhisho, watafute tatizo!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…