Safari na muziki

Oss ochestra safari sound wana dukuduku balaa wale jamaa hasa ule wimbo wao wa Noele au chrismas, enzi za kiatu kipya shati jipya na suruali mpyaaa pilau kwa saaana watu wote mnasheherekea iwe idd au pasaka sio leo hii tunaua viongozi wetu wa dini laana gani hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…