Mzinze anamwaga maji tu Shekhan anatia vitu π huyu dogo Mfaume aliyefunga goli la kwanza yuko vizuri sana. Engineer afikirie kumleta kikosi cha kwanza
Ni timu ya wachezaji mkosanyiko kutoka mikoa kadhaa waliochujwa ktk michujo yao wakapata timu ..ni promo ya bia yao naona...timu yao ilikua na makocha kama Sekilojo Chambua na Jamhuri Kiwelo