saed kubenea yuko uholanzi akinoa bongo katika chuo kimoja nchini humo. Anachukua diploma ya mass communication and international communication.
Hakika na anataraji kurudi nchini mwezi WA Saba, though alipita Uingereza kucheki macho yake kwani ile tindikali ilimuafekti KIASI na waindi wamekua mstari WA mbele kumpiga dozi za gharama so ni Kama anatafuta option nyingine kumaliza tatizo lake hili. Mwanajeshi Yule.
Hakika na
anataraji kurudi nchini mwezi WA Saba,
though alipita Uingereza kucheki macho
yake kwani ile tindikali ilimuafekti KIASI
na waindi wamekua mstari WA mbele
kumpiga dozi za gharama so ni Kama
anatafuta option nyingine kumaliza tatizo
lake hili. Mwanajeshi Yule.
saed kubenea yuko uholanzi akinoa bongo katika chuo kimoja nchini humo. Anachukua diploma ya mass communication and international communication.
Wa jeshi gani?
Mkuu kisima jongoo kama sasa anachukua diploma ya Mass Communication, huko nyuma alikuwa na cheti gani? Au ndio ile habari niliyowahi kuisikia kuwa jamaa elimu iko chini anatumia talanta tu katika uandishi?
Mchuzi wa bata bwana yaani Mwanahalisi limefikia hali hiyo kweli?Said Kubenea yupo bahati mbaya gazeti la Mwanahalisi linakufa kifo cha kawaida imefika wkt linauzwa kwa kilo maeneo ya Kariako/Msimbazi na Uhuru.
Mchuzi wa bata bwana yaani Mwanahalisi limefikia hali hiyo kweli?
Mchuzi wa bata bwana yaani Mwanahalisi limefikia hali hiyo kweli?