Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,160
- 17,061
Kubenea yupo right kabisa. Kama mtakumbuka kisa cha Ramadhani Mapuri aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani. Alishikiwa bango na media mpaka mkuu alipomwamishia nje ya nchi. Naye alitumia askari magereza kupiga waandishi kwa madai eti waliingia sehemu kulikokuwa na shughuli za jeshi la polisi wakati kulikuwa na wafungwa.
Ni ulevi tu wa madaraka.
Ni ulevi tu wa madaraka.