Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Kazi uliyowapa Mwananchi ni real assignment na ya maana sana kuliko story za vijiweniTaarifa kwa umma
NIMEONA picha yangu kwenye gazeti la leo Jumanne la MWANANCHI likinihusisha mimi na kutaka kuhama chama changu na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Napenda kueleza masikitiko yangu kuona gazeti lililokuwa linaheshimika katika jamii, linajiingiza katika kuandika habari ambazo chanzo chake ni mitandao ya kijamii ya Whats App na Jamii Forum na zinazosambazwa na watu wenye nia ovu dhidi yangu.
Narejea tena na tena, kwamba sina mpango wa kuondoka Chadema. Sijawahi kuzungumza na mtu yoyote yule wa CCM kuwa nataka kujiunga na chama chao.
Hii ni kwa sababu, mpaka sasa, mimi binafsi, sijaona sababu zinazojitosheleza kunishawishi kuondoka Chadema na kujiunga na chama kingine.
Ninafahamu wazi kuwa wapo watu ndani ya Chadema wanaotaka nikihame chama changu, ili kukidhi maslahi yao binafsi.
Napenda kuwahakikishia kuwa siondoki na hakuna wa kuniondoa.
Wanaodhani kuwa mimi kuwamo kwangu huku ni kero kwao, basi nawaomba waondoke wao.
Watuachie sisi chama tutakaosalia. Tunaahidi tutakijenga, kikiimarisha na kukiendeleza hadi kuelekea kushika dola.
Nitaendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa Chadena na nitaendelea kuwatumikia wananchi wangu wa Ubungo, hadi nimalize kipindi changu cha Ubunge.
Kuhusu gazeti la MWANANCHI, naomba kulishauri mambo mawili makuu:
Liache kuandika habari za kuokoteza juu yangu zinazohusu madai ya kuhama chama.
Litumie muda huu, kufanya uchunguzi yakinifu wa wapi alikofichwa; na au nani waliomteka na kumshikilia mwandishi wao wa habari mahiri za uchunguzi aliyetoweka takribani miezi mitano iliyopita, huko Kibiti, mkoani Pwani.
Hiyo ndio kazi ya kitume ambayo gazeti kama MWANANCHI linapaswa kuifanya.
Saed Kubenea, mbunge wa Ubungo.
kAMANDA NAMBO YA DEMOKRASIA MAGUMU SANANchi hii inavurugwa na Jiwe na huenda sasa kaanza kutumia media katika njama zake hizo.
Mnapandikiza mamluki lakini mtashindwa tu.Kubenea asema ndani ya chadema kuna shida
Sijui ni kwa nini wanaotaka kutoka hawatoki wote kwa wakati mmoja tujue tutakaookota mbao nao na kulijenga upya Jahazi letu!!
Watoke tuu!Wengine wanaogopa macho ya watu,
Nyie hamuaminiki. Kama mnaomba mpaka madiwani wasiofahamika itakuwa Kubenea!Huyu nae nani kamuomba ahame!!!
Msaka kiki tu
Mungu mbariki Kubenea , Mungu mhurumie Azory Gwanda .Taarifa kwa umma
NIMEONA picha yangu kwenye gazeti la leo Jumanne la MWANANCHI likinihusisha mimi na kutaka kuhama chama changu na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Napenda kueleza masikitiko yangu kuona gazeti lililokuwa linaheshimika katika jamii, linajiingiza katika kuandika habari ambazo chanzo chake ni mitandao ya kijamii ya Whats App na Jamii Forum na zinazosambazwa na watu wenye nia ovu dhidi yangu.
Narejea tena na tena, kwamba sina mpango wa kuondoka Chadema. Sijawahi kuzungumza na mtu yoyote yule wa CCM kuwa nataka kujiunga na chama chao.
Hii ni kwa sababu, mpaka sasa, mimi binafsi, sijaona sababu zinazojitosheleza kunishawishi kuondoka Chadema na kujiunga na chama kingine.
Ninafahamu wazi kuwa wapo watu ndani ya Chadema wanaotaka nikihame chama changu, ili kukidhi maslahi yao binafsi.
Napenda kuwahakikishia kuwa siondoki na hakuna wa kuniondoa.
Wanaodhani kuwa mimi kuwamo kwangu huku ni kero kwao, basi nawaomba waondoke wao.
Watuachie sisi chama tutakaosalia. Tunaahidi tutakijenga, kikiimarisha na kukiendeleza hadi kuelekea kushika dola.
Nitaendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa Chadena na nitaendelea kuwatumikia wananchi wangu wa Ubungo, hadi nimalize kipindi changu cha Ubunge.
Kuhusu gazeti la MWANANCHI, naomba kulishauri mambo mawili makuu:
Liache kuandika habari za kuokoteza juu yangu zinazohusu madai ya kuhama chama.
Litumie muda huu, kufanya uchunguzi yakinifu wa wapi alikofichwa; na au nani waliomteka na kumshikilia mwandishi wao wa habari mahiri za uchunguzi aliyetoweka takribani miezi mitano iliyopita, huko Kibiti, mkoani Pwani.
Hiyo ndio kazi ya kitume ambayo gazeti kama MWANANCHI linapaswa kuifanya.
Saed Kubenea, mbunge wa Ubungo.
Muulize Masaburi huko aliko kilichompata 2015 akusimulie , kapigwa zaidi ya kura elfu 10 .we kubenea wewe utachelewa mwisho december we kalia kukausha tu muda unaenda baada ya hapo tukutane 2020 ambapo hutapata hatakula moja yaani utapata sufuri yaani 0 ndiyo akili itakukaa sawa wahi mapema kama wenzio shauri yako