Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

Hana lolote huyo jamaa kwani haaminiki tena hana tofauti yoyote na yule Mzee wa elimu elimu elimu!
 
Mwenye akili ataacha akili yake ifanye kazi...but mwenye ubongo atatukana na kutusi.
 
Mwenye akili ataacha akili yake ifanye kazi...but mwenye ubongo atatukana na kutusi.
 
Hivi kuna watu bado wanamuamini Kubenea.
 
Hivi kuna watu bado wanamuamini Kubenea.

Wapo mkuu.....ni wenye akili za akina Mmawia.....those who can't use brain to interprete the open events
 
Last edited by a moderator:

Napita tu
 
Dah kama ni kweli huyu jamaa nimemuheshimu huyu ndo anajua siasa kama mchezo.
Politics is a game,inabidi ujue kulicheza and is all about opportunities,undumilakuwili ,na fitina.
Kiufupi amewazidi maarifa sana,use what you have to get what.
you want.
Hongera kubenea
 
Anatisha sana jamaa
 
Wapo mkuu.....ni wenye akili za akina Mmawia.....those who can't use brain to interprete the open events

Olakotze umwana waatchu,olatze chaane chaane kalumanzira
 
Last edited by a moderator:
Wapo mkuu.....ni wenye akili za akina Mmawia.....those who can't use brain to interprete the open events
Mules always do things they do not use their brain.
 
Last edited by a moderator:
Kubenea hafai kwa lolote. Ni Mtu hatari asiye ijua hatima yake.

Kubenea ni kiumbe anae tembea kwenye giza akitafuta malisho.

Kubenea alimwagiwa tindikali chupu chupu apoteza maisha na wale wahusika wakuu wa hujuma hiyo aliwahi kuwataja kwenye gazeti lake, leo hii watu hao hao wapo CDM pamoja nae. Oh masikini Kubenea Elimu ni chanzo cha fikra pevu na huzaa hekima, busara na maarifa. Wanajamvi tafadhalini msipoteze muda wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…