Chadema inasimamia misingi gani wewe Nyumbu?
Kesho kubenea ataandika haitwi kubenea bali anaitwa Kuenea,Nyumbu watafuata wala hawatahoji.
Kubenea ana future fupi ya maisha ya kisiasa.
Ukiona raha zimezidi basi tambua tabu inakaribia na ukiona taabu imezidi basi tambua furaha inakaribia.
kocroch
Tunafanya siasa kwa mustakabali wa maisha yetu ya leo na kesho sio siasa za kiujanjaujanja za kusema leo hili jiwe kesho kilekile unasema mkate
People's......... People's...... CCM hoyeeeeee. Naomba kura zote za Urais mnipe. Za udiwani na ubunge, muwappe wagombea wa CCM.
People.... People... Mabadiliko?
Nyumbu bwana. By the way. Nilikuwa chadema damu hadi mlipoliuza chama kwa Mafisadi. Ndio maana siwezi kuwaamini tena
Kama ni ME wewe utakuwa sio timamu,Kutumia tu ID ya Jina la Mtu inaakisi hilo najua Mods Watakutendea haki.Mimi kwa sasa vijarida vya udaku vya kubenea havinipotezei muda,nasima Tanzania Daima na Jamvi la Habari kwa sasa,ndio magazeti ambayo walau yana waandishi Weledi.
Unaota nini. Jitu ndumilakuwili kama hili la nini?
Hii ndefu mpaka inakera na usitegemee kuandika porojo ndefu Kama Hizi watu watasoma yote , mie nakujibu hapo kwenye Kingereza tu kwani Kingereza ndicho kigezo cha kuwa na kipawa cha Uongozi ? Kule London kuna wazungu hawajaenda shule lakini wanazungumza Kingereza , Wachina, wafaransa , German nk hawajui Kingereza na maisha yameendelea na hata Rais wa China alikuja Tanzania hakuongea Kingereza , Wabunge wasomi akina Mama Tibaijuka , chenge na waliopita huko nyuma akina Profesa mbilinyi , Kapuya nk walisaidia nini Taifa ? Kingereza Tanzania hutumika sana kwenye Ufisadi hata pesa zote zilizoibiwa Nchini ni Kingereza kilitumika , sasa wale wabunge wanaojua Kingereza Mbona hawakuzuia huo wizi ?
Wewe mwenye akili mbona unashindwa hata kuendesha maisha yako.
Kama kiingereza kinaweza kupunguza uwezo wa mtu kuongoza, bac nchi ipo hatarini maana the last time I heard that head of the state, I didnt understand what he meant labda km kusoma anaelewa lkn cha kuongea. BURE KABISA
Umetumwa na Makonda hapa hakuna kitu.
Mbona gazeti Uhuru linaandika ujinga mtupu na haujasema kitu.
Ukiichezea Serikali Uwe tayari kwa lolote.
Makonda @WORK
Yes Mmawia.
Makonda ameshindwa kufuta kashifa ya kumbeba Riz1 na kuosha viatu sasa ananunua wajinga kama huyu.