Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

Kwa nijuavyo, hata mwandishi wa makala hii anasaka fursa. Hata wanasiasa hao wote wametokea ccm ili kusaka fursa na waliobaki ni kwamba fursa zimekubali


Lakini pia nina swali dogo tu, inawezekana vipi mtu asiye na cv nzuri akawaendesha vichwa kama akina Lipumba, Zitto, Membe, Mwakyembe, Slaa na akina nnauye? Naona vigumu sana kuiamini makala hii.
 
Aina ya kiongozi hutegemea watu anaowaongoza! Mtu yeyote huheshimika kwa misimamo thabiti. Ila kwa kubenea kwa muda niliomfahamu na kufuatilia kazi zake za uandishi si mtu wa kuaminiwa kabisa. Yupo huru kusema ndiyo au hapana wakati wowote anapoona jibu litamnufaisha yeye binafsi. Analopinga leo, anaweza kulitetea kesho, UTAFIKIRI AMEBADILISHWA KICHWA, na kwa mwanaume tabia kama hiyo ni aibu kubwa, kutokuwa na msimamo, kula matapishi yako inaashiria wakati unatapika ulikurupuka, kichwa chake hakihifadhi kumbukumbu vizuri au kalamu yake inaweza kubadilishwa rangi ya wino kwa hongo/rushwa. Anachezea akili za watu.
 
haka kamjamaa hakafai eti kalimwagiwa tindikali usoni mbona hata dalili hakuna ila kweli hiki kimjamaa nilisha kuwa na mashaka nacho tuvijana twingi ndg mleta maada nitwajuzi hatuwezi kkuelewa twingine hata tulikuwa chekechea hatukuwahi kusoma vigazeti vya kubenea kipindi anamponda lowassa na rostam tungepata wapi vipesa vya kununulia hata vigazeti vingi vulikuwa ni kula kulala kwa baba zao
 
Washabiki wa CDM wna akili, muono na tabia kama za wana CCM. Ukweli huwa mnaukataa kwa sababu ua mahaba yenu

Kubenea ni malaya wa siasa
 
eti anajiita mwandishi wa habari za uchunguzi. khaaaa! !! kwa elimu gani aliyokuwa nayo. form four? ?? kubenea huyu tapeli la kisiasa? ?. mganga njaa? ?
 
Wewe una elimu gani wewe?


Matawi ya juu ni yapi? . Elimu ya sunday school inatosha kumfanya mtu awe na hekima, na busara, Ili kukabiliana na changamoto za kiroho na kidunia. USIPOTEZE MUDA WAKO.
 
Please remember that the festive season is here again for us. Accidents take seconds to happen but suffering lasts a lifetime. Helmets and condoms should be worn on appropriate heads during respective RIDES especially on vehicles that do not belong to you.Tell a friend to tell a friend
 
nasema Kubenea ni Malaya wa kisiasa, anayemtetea naye ni changudoa
 
ni kweli ameanza kazi ya kukumbatia mafisadi, tunajua sana. si mchumia tumbo.?? na tunasema haya yote yatakuja mgeuka. swiss me

Hadi mtahama vibandani mwenu
 
Makonda tokea lini akampenda kubenea? Makonda kaamua kumchafua kubenea akidhani Watanzania ni wajinga hawatamjua haraka , lakini sasa kila mtu kujua kuwa aliyeandika hii story ya porojo ni Makonda mwenyewe.

Makonda ni janga na hii ndio madhara ya kupewa cheo kwa kulipa fadhila sasa aliye mbebw katoka anatafuta njia za kushawishi uongozi mpya
 

Njaa inawasumbua sana nyie manyumbu,mtake msitake KUBENEA ndiye mbunge wa ubungo na makonda atafanya kazi chini ya KUBENEA tuone hiyo foreni ataipanga wapi na ieleweke Kubenea hawezi kuhama hilo jimbo atahama hyo makonda wenu
 

Naunga mkono hoja
 
lowassa hasafishiki

"alisema katika makala yake mwanahalisikubenea "
 
Makonda sasa kakonda sana hata xmas anakula Kwa shida leo alitegemea hii porojo yake ingewashika wengi lakini imekuwa kinyume na watu wamezidi kumdharau na huenda Magufuli akamtupa wilaya ya ngara akapambane na waasi toka Rwanda na Burundi maana Akili zake sasa zimefikia kikomo kwenye mambo ya busara zimebakia kwenye vurugu pekee.
 
Kumjadili Kubenea ni kupoteza muda. Ni miongoni mwa watu wajinga kupindukia. Hili si jina lake. Mtafuteni mwenye jina hilo aliyegombea udiwani huko kimanzichana.
 
Njaa inawasumbua sana nyie manyumbu,mtake msitake KUBENEA ndiye mbunge wa ubungo na makonda atafanya kazi chini ya KUBENEA tuone hiyo foreni ataipanga wapi na ieleweke Kubenea hawezi kuhama hilo jimbo atahama hyo makonda wenu

Mmh na wewe kanyumbu usiyejuwa lolote Hutu tunyumbu bhana kazi yatwenyewe ni kushabikia tu kila tunachofanya tuchadema kwani hata ingetokea kambowe kakajisaidia kwenye kabarabara kasamri jomo hutu tunyumbu tungeshangilia tu kwasababu nitunyumbu hatuelewi na ndy maana kalowasa kalitaka kuvipa kaelimu kwnz vingi vyao shule hakunaga
 

Mkuu minyoo hata huko ngara sidhani kama atafanikiwa zaidi ya kutupwa kama wenzake waliokuwa na matusi pale mjengoni kwa kuwaita wenzao ni mbwa leo wako wapi?
 

unajua wewe ndio mwongo na una interest naye Kubenea. jamaa kaeleza ukweli anaoujua. wewe mbona hujaeleza ukweli unaoujua? ili kum prove him wrong? ? umekalia kuropoka kishabiki tuu. kaa kimya kama huna hoja hujalazimishwa ku comment chochote
 
Kumjadili Kubenea ni kupoteza muda. Ni miongoni mwa watu wajinga kupindukia. Hili si jina lake. Mtafuteni mwenye jina hilo aliyegombea udiwani huko kimanzichana.
unasemaje? ??? please come again! !
kama ni hivyo kuna kosa la jinai hapa limetendwa. sasa naanza kuhisi inawezekana Kubenea sio Mtanzania. ni mgeni. kwa sababu hizi ndio tabia za raia wengi wa kugeni wanaoingia TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…