Magamba yakisikia Kubenea huwa yanaanza kuharisha ghafla
Wanabodi.
Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwanahalisi Saed Kubenea, inasemekana amejapanga kugombea Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kupitia Chadema mwaka 2015. kwa hivi sasa Jimbo hilo linaongozwa na Silvestry Koka [CCM].
Hii itakuwa habari njema kwa tasnia ya habari kujiingiza katika masuala ya uongozi wa kisiasa, Kubenea kapata msukumo wa kugombea Ubunge baada ya kushauriana na Dr Slaa na kumuakikishia kuwa anaweza kushida Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kama akijipanga vizuri na kupata msaada wa Chadema.
Kila la Heri Saed Kubenea.
Good news from untrusted source. Japo ninapenda kuzisikia habari za aina hii, lakini sipo tayari kuzikubali wala kuziamini kutokana na kutokumwamini aliyezileta.Wanabodi.
Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwanahalisi Saed Kubenea, inasemekana amejapanga kugombea Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kupitia CHADEMA mwaka 2015. kwa hivi sasa Jimbo hilo linaongozwa na Silvestry Koka [CCM].
Hii itakuwa habari njema kwa tasnia ya habari kujiingiza katika masuala ya uongozi wa kisiasa, Kubenea kapata msukumo wa kugombea Ubunge baada ya kushauriana na Dr Slaa na kumuakikishia kuwa anaweza kushida Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kama akijipanga vizuri na kupata msaada wa CHADEMA.
Kila la Heri Saed Kubenea.
Na Mchange nae vipi au imekula kwake
Magamba yakisikia Kubenea huwa yanaanza kuharisha ghafla
Huyu si alitaka kugombea Mafia?