Kubenea ahoji: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow? Yeye (Kafulila) amchana kwa hoja nzito Saba

View attachment 2967024

Na. David Kafulila

NIMELAZIMIKA kushika kalamu ikiwa ni baada ya kusukumwa na andiko la ndugu na jamaa yangu wa miongo mingi na aliyepata kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mhe Saed Swedi Kubenea,

Mhe Kubenea amejadili kuhusu mradi wa BRT unaotarajiwa kuendeshwa na kampuni ya ENG ya Dubai.

Bw Kubebea ameandika Makala iliyobeba kichwa cha maneno: “Kafulila wa Escrow ndiye huyu wa UDART?”

Mimi Kafulila baada ya kuisoma makala hiyo, nimejiridhisha kuwa kuna maeneo mwandishi hajanielewa vizuri.

Mwandishi huyu amejaribu kujenga mashaka ya alichokiita hatari ya kampuni ya Dubai kupewa kazi ya kuendesha UDART – Shirika linalomilikiwa na Serikali na kampuni binafsi ya Simon Group Limited.

Binafsi nikiri kuwa nimependa namna mwandishi alivyowasilisha maoni yake kwani yameamsha mjadala wa Ubinafsishaji, Ubia na nafasi ya wazawa katika umiliki na uendeshaji wa uchumi wa taifa lao.

Kwakuwa mjadala huu ni mpana, naomba leo niseme mambo saba kwa ajili ya kutoa ufafanuzi ili kuwatoa hofu Watanzania.

Na ieleweke pia nitakayoyaeleza hapa, baadhi ni maoni yangu binafsi, hasa kuhusu dhana nzima ya Ushirika wa Sekta binafsi ya ndani na nje katika kujenga uchumi shirikishi na Jumuishi.

Kwanza, nataka muelewe kuna tofauti kubwa kati ya Ubinafsishaji na Ubia.

Mikataba yote ya Ubia duniani – mali au aseti zote zinamilikiwa na Serikali husika Kabla, wakati na hata baada ya mkataba vile vile Mikataba ya Ubia haihamishi umiliki wa mali.

Sikilizeni, Kwa mfano, Ubia kati ya DART na kampuni ya ENG, haimanishi DART itakuwa imeuzwa au kuhamisha umiliki wa barabara au magari yake.

Kinachofanyika hapa muwekezaji ataleta mabasi na kuyaendesha kwa gharama zake,

Nimuulize swali Mhe Kubenea,
Kama Mbia ataleta magari yake hapo Serikali itakuwa imeuza rasilimali gani Kwa ENG?

Hata hivyo ni muhimu kufahamu kuwa Usafirishaji kwa njia ya barabara nchini unaendeshwa na sekta binafsi kwa miongo yote sasa, ukiondoa sehemu chache kama ilivyokuwa miradi ya UDA.

Pili, kwa mujibu wa taarifa ya Mkurugenzi wa DART ya wiki jana, taratibu za Serikali kutafuta mbia kuleta mabasi na kuyaendesha zimeanza tangu mwaka 2017.

Katika mchakato huo, zaidi ya makampuni 30 yalijitokeza lakini hakupatikana muwekezaji mwenye sifa.

Mchakato huo ukarudiwa tena mwaka 2020 Safari hii, Makampuni takribani 40 yalishiriki na hapa ndipo ENG ikaibuka mshindi na kuanza majadiliano na Serikali ya kuendesha mradi huo na majadiliano hayo yalianza mwaka 2022 wakati mimi nafasi hii nimeipewa mwaka 2023.

Tatu, Ni bahati mbaya kwamba majadiliano haya yamechukua muda mrefu kutokana na changamoto za kisheria kwani DART & ENG walikuwa wakivutana kuhusu namna bora ya kuhitimisha makubaliano yao kwa masilahi mapana ya Taifa la Tanzania.

Mara zote tumeendelea kupata ushauri kutoka ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), kwa lengo la kuhakikisha tunafikia mkataba wenye masilahi mapana ya taifa letu na unaolindwa na sheria zetu.

Nne, mradi wa BRT una njia sita, Njia ambayo inajadiliwa na kampuni ya ENG ya Dubai, ni ya kwanza (Phase I), ambayo inahusisha kuwapo mabasi 177 yatakayonunuliwa na kampuni hiyo ya ENG.

LAZIMA pia tufahamu Mabasi yote haya yatakayonunuliwa baada ya mkataba kumalizika, yatakabidhiwa kwa Serikali kabla hayajachoka na kisha wao kuingiza mengine mapya.

Lengo la Serikali na Rais Samia ni kuhakikisha kunakuwa na ubora wa huduma kwa Wanadalesalaam hasa Wapenzi wa Mwendokasi.

Hata hivyo, ujio wa ENG hauindoi UDART bali utaipa kampuni hii ya Serikali na wazawa changamoto katika ubora wa huduma ( a competitive business )

Tano, njia zingine tano bado DART wataendelea na mchakato wao wa kupata wawekezaji kwa utaratibu. wa aina hiyo hiyo.

Njia ya pili (Phase II), itahitaji uwekezaji mkubwa zaidi kwani kunatakiwa mabasi 770.

Hii ni fursa kwa wawekezaji wote na hususan wa ndani.

Nakubaliana na hoja ya umuhimu wa kampuni za ndani kupewa fursa hii.

Nakubaliana na hoja ya kuzisaidia kampuni za ndani kupata fursa hii na hata hivyo, ni muhimu tukubaliane kusiwe kwa gharama kubwa. kwa wananchi wanaotumia usafiri huu.

Asilimia 43 ya wakazi wa Dar es Salaam wanafanya kazi maeneo ambayo wanatembea kwa mguu kwa sababu ya changamoto ya nauli.

Hii inawanyima fursa wao binafsi, lakini pia uchumi kwani nguvu kazi hiyo inaweza kuzalisha zaidi ikimudu kufanya kazi zaidi ya umbali huo.

Unafuu wa nauli na ubora wa huduma ni muhimu sana kuhakikisha nguvu kazi ya Dar es Salaam inazalisha na jiji la linaunganishwa.

Sita, Napenda kutoa wito kwa kampuni za wazawa zenye nia ya kuwekeza eneo hili, waoneshe nia na tuwasaidie kuwekeza kwenye fursa hizi za BRT hata kabla ya DART kutangaza.

Sheria inaruhusu wawekezaji kuleta mapendekezo kabla ya zabuni kutangazwa.

Anachopaswa kukizingatia, ni kwamba anapaswa kuleta mapendekezo yake kama UNSOLICITED.

Njia hii inatumika kwa miradi yote mwekezaji. anapoona Serikali haiwezi kuendesha kwa ufanisi, anaruhusiwa kuomba kazi hiyo na atasaidiwa kwa mujibu wa sheria.

Lengo ni kuhakikisha serikali inavutia mitaji, teknolojia na weledi.

Kwamba, sekta binafsi inatumika kutekeleza baadhi ya majukumu ya serikali kwa ufanisi ili yenyewe ibaki na majukumu muhimu ya kuhudumia wananchi.

Lazima watu waelewe, Sheria ya PPP na hata ile ya manunuzi, zinatoa upendeleo kwa wazawa.

Serikali inatoa upendeleo wa kisheria na inazijengea uwezo kampuni hizo, ili ziweze kusimama zenyewe, kutokana na kutambua mchango wake kwa uchumi wa taifa Kwa muktadha huo,

Saba, Baada ya ufafanuzi huu wa kina naomba nisisitize kwamba David Kafulila huyu ni yule yule wa Jana, Juzi na Leo,

Kafulila ni yeye yule aliyekuwa Mbunge machachari toka Jimbo la Kigoma Kusini (2010 - 2015) na baadae Katibu Tawala wa mkoa Songwe, aliyesimamia nidhamu ya Fedha za Umma, Kuichukia rushwa na uwajibikaji kwa halmashauri zake zote.

Ni huyu Kafulila aliyekuwa Katibu Tawala wa kwanza kuvunja mkataba wa Mshitiri wa usambazaji dawa kwenye Mkoa kufuatia kuibuka kwa madai ya udanganyifu.

Mtakumbuka, Baada ya kuvunjiwa mkataba wake, muhusika alikwenda hadi Mahakama kuu, ambako nako alishindwa kesi zote.

Ni Kafulila yule yule ambaye akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, mkoa ambao asilimia 70 ya Pamba ya Tanzania inatoka huko ni yeye aliyeza kudhibiti vyama vya ushirika na mfumo mzima wa ununuzi wa pamba, ambayo iliwafanya wakulima kuuza pamba yao bila kukopwa na hata kuuzwa wanakotaka na Udhibiti huu ulisaidia pamba kuuzwa kati ya Sh. 1,800 kwa kilo hadi Sh. 2,200. Bei hizu hazijawahi kutokea tangu uhuru wa nchi yetu.

Kafulila huyu huyu akiwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu alimrudisha mkandarasi wa Kichina kurudia barabara ya Mwigumbi- Maswa, yenye zaidi ya urefu wa kilomita 20 zaidi ya TZS 40 bilioni baada ya kujengwa kinyume na mkataba halafu mtu anauliza Je, ni Kafulila yule yule!?

Kafulila huyu huyu alimnyang’anya mwekezaji umiliki wa Soko la madini kisheria na kuikabidhi halmashauri ya mji wa Bariadi.

Mimi Kafulila nimekuwa kamishna wa PPP ndani ya wizara ya fedha kwa mwaka mmoja 2023 na sasa nimekuwa Mkurugenzi wa kituo cha Ubia ambayo kinajitegemea (PPP Center) hapa namshukuru Mhe Rais Samia pamoja na Wasaidizi wake kwa kuendelea kuniamini kamwe sitowaangusha Watanzania.

Niiliahidi. kuhakikisha ndani ya mwaka mmoja, miradi ya PPP kwa Sera na Sheria ya PPP inaanza kupatikana baada ya kukwama kwa zaidi ya miaka 15 ya Sera ya mwaka 2009.

Na taarifa njema kwa Taifa ni kuwa kabla ya kufunga mwaka huu wa. fedha – Juni 24, tutakuwa tayari tumesaini miradi mitatu ya Ubia,

Hakika Mama amelifungua Taifa kazi yetu ni kuchagua fursa tunazozitaka na kuziweza.
Huyu Bwana ni hazina ya Taifa hapo kesho tumwombeeni tu.
 
Kwako Bwana Kubenea
 
Kafulila yupo vizuri. Mimi nimekutana naye mara moja Ofisini kwetu akiwa amekuja kutupa ABC za PPP na kutujengea uwezo juu ya masuala ya PPP akiwa kamishna wa PPP pale Wizara ya Fedha mwaka 2023. Kwa ufupi Kafulila na ubongo unaofanya kazi. Akili yake haikudumaa wakati ukuaji wake. Tatizo la Nchi hii inweza kuwa Sheria zetu mbovu hasa katika eneo hili la UBIA. Sheria zetu zina urasimu mwingi sana.
2030 namshauri achukue fomu ya Mungu, Watanzania wanataka mpinga ufisadi na wizi tu
 
Kafulila agombee Ubunge arudi Bungeni tupate Raha za Bunge
 
LEO PAMBA NI TSH800 NAONA KAMA KAFULILA ANAKAUKWELI

Ni Kafulila yule yule ambaye akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, mkoa ambao asilimia 70 ya Pamba ya Tanzania inatoka huko ni yeye aliyeza kudhibiti vyama vya ushirika na mfumo mzima wa ununuzi wa pamba, ambayo iliwafanya wakulima kuuza pamba yao bila kukopwa na hata kuuzwa wanakotaka na Udhibiti huu ulisaidia pamba kuuzwa kati ya Sh. 1,800 kwa kilo hadi Sh. 2,200. Bei hizu hazijawahi kutokea tangu uhuru wa nchi yetu.
 
Nafikiri Bw. Kafulila anachanganya mambo kuhusiana na suala la UBIA. Sidhani kama anaielewa vyema dhana ya neno Ubia, kuanzia maana yake, aina zake na namna jinsi unavyofanya Kazi. Namshauri akasome Sheria ya Mikataba ya Tanzania,hususani ile sehemu inayohusika na masuala haya ya UBIA ili Aelewe vizuri kuhusiana na suala hili.
Vile vile, asome Sheria ya Masuala haya ya UBIA ya Tanzania ili aelewe vizuri zaidi kuhusu suala hili.
Wewe ndiye hujui kabisa. Kama wajua kwa nini usiiweke hiyo maana ya ubia hapa? Nahisi umepondwa na kitu kizito kisogoni.
Definition ya Kafulila kuhusu ubia ipo very clear. Labda wewe unawaza ubinafisishaji.
Acha uchovu weye
 
Kafulila ni kijana MúunGwana sana
 
Hii sidhani kama ni kweli
 
Asilimia 99.99999% ya wanasiasa bongo hii ni wachumia tumbo, ni majizi yanayopambania nafasi za kula.
Usiamini kelele zao.
 
Kwa faida ya wote ungeileta hapa jukwaani, samahani kama nimeingilia mambo yako
Alivyo andika, ni kielelezo sahihi kabisa cha wasomi wetu hapa nchini.
Yeye anataka watu waelewe anajuwa anachokizungumzia, lakini hawezi kukieleza kwa wengine.
 
Asilimia 99.99999% ya wanasiasa bongo hii ni wachumia tumbo, ni majizi yanayopambania nafasi za kula.
Usiamini kelele zao.
Mwalimu wangu aliwahi kunifundisha kuwa duniani Kila mtu ni mwizi ndio maana tukaweka controls
Alivyo andika, ni kielelezo sahihi kabisa cha wasomi wetu hapa nchini.
Yeye anataka watu waelewe anajuwa anachokizungumzia, lakini hawezi kukieleza kwa wengine.
 
Alivyo andika, ni kielelezo sahihi kabisa cha wasomi wetu hapa nchini.
Yeye anataka watu waelewe anajuwa anachokizungumzia, lakini hawezi kukieleza kwa wengine.
Kwaakili yako Kafulila anaongea asichokijua?

Tanzania hii ukitafuta vijana wawili wenye uzalendo na Uadilifu huwezi acha kumtaja Kafulila
 
Hakika Mama amelifungua Taifa kazi yetu ni kuchagua fursa tunazozitaka na kuziweza.
Mstari huu ni wa kijinga sana. Ni ishara ya uchawa unaoondoa akili timamu vichwani mwa watu hata wanaojionyesha kuwa na vichwa timamu kama huyu.
Huyo mama jukumu lake siyo kufungua Taifa. Kazi yake kubwa ni kuhakikisha inapofanyika hivyo, wananchi wawe tayari kuzitumia fursa hizo. Ni jukumu lake kuweka mazingira, na kuwapa waTanzania fursa hizo kabla ya mtu mwingine yeyote. Ni kazi ya huyo mama kuhakikisha kuna uwezo wa kulinda maslahi ya nchi kwanza wakati hao anaowafungulia nchi wanapokuja hapa ufunguzi huo uwe wa manufaa kwa nchi.

Kafulila anao uwezo wa kujieleza, lakini kama walivyo wengi, hana msimamo thabiti mbali ya kutumia uwezo wake huo kujitafutia maslahi binafsi.
 
Back
Top Bottom