KILLERS KISS GUY
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 718
- 255
Kama kuna mtu anapaswa kulaumiwa kwa kuwanyima watanzania mabadiliko ya kweli ni Saed Kubenea na gazeti lake la mwanahalisi, maana asilimia 90% ya watanzania walijua kuwa Lowassa ni fisadi kupitia gazeti la mwanahalisi maana ndo gazeti pekee lilioandika bila kuchoka ufisadi wa Lowassa, hivyo kama kuna mtu wa kwanza wa kumlaumu hapa nchini aliyezuia mabadiliko ya kweli kwa watanzania ni Saed Kubenea.
Last edited by a moderator: