Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
- Thread starter
-
- #21
Blood Quran - WikipediaHakuna ukweli wowote hapo, hiyo imengenezwa tu!
Nimefatilia kiasi cha damu ni 24–27 litres (50 to 57 pints) kwa kipindi cha miaka miwili ndio saddam alizitoaAhsante kwa ufafanuzi; kama alifanya hivyo, Mungu ndiye shahidi wa hilo.
Damu katika Uislam ni najisi. Ndiyo ipo mwilini mwako lakini ikishatoka ndani ya mwili wako inakuwa ni najisi. Ni sawasawa na kinyesi, kipo ndani ya miili yetu ila kikitoka nje kinakengeuka kinakuwa si sehemu salama ya sisi na najisi vilevile.
Ki' fiqhi damu inaingia katika najisi ya "Almutawassitwat" kwa maana ni najisi ya kati kwa kati, na kuna ahadith ya Mtume inasema " atakayesali pamoja na najisi haitoswihi sala yake" imma najisi iwe kwenye vazi, mahala unaposalia na kiwiliwili chako maadam hiyo imethibiti sala yako haitosihi.
Aisee! Sina cha kuendelea kujibu maarifa yangu ya dini ndiyo yameishia hapo. Ngoja nikawaulize wajuzi wanisaidie wanipatie na ushahidi kwa sababu suala uliloandika ni gumu(Qur'an kuandikwa kwa damu) na ugumu wake unakuja kwa sababu limejikita kwenye "Fiqhi" na fiqhi ni somo gumu si jepesi, ni sheria hiyo.
Yeye alitumia lita 24 - 27 zilizochanganywa na chemicalMsahafu mzima inahitajika damu lita ngapi!?
Ama hakika alikuwa kwenye kufuru nzitoYeye alitumia lita 24 - 27 zilizochanganywa na chemical
Na baada ya hapo aliuweka msikitini
Kuna link ya wikipedia nimeweka hapo juu unaeza soma zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Waislamu wenzie wa nchi za UAE walimpinga mno katika hiliAma hakika alikuwa kwenye kufuru nzito
Hahaha kweli kabisa mkuuHuku bongo Kila mtu ni mtume, hivyo kwa Saddam Wala sishangai maana tunao mitume wengi Sana huku bongo.
No uamuzi tuu hata wewe unaweza uwe mtume hata kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hakika alikengeuka
Ma dikteta wana matatizo sana nadhani ni kwa sababu ya zile assasination attemptKwa hakika alikengeuka
Ndio shida ya kukosa hata chembe ya imani unajikuta mungu mtu, unafanya mambo ambayo hata quraan wala mtume (s.a.w) hakufundisha na bado unajiita muislam tena ukijiona mbora zaidi ya wengine..Ma dikteta wana matatizo sana nadhani ni kwa sababu ya zile assasination attempt
Kwa mfano katika moja ya ziara yake msafara wake ulivamiwa akaponea chupu chupu alipotoka hapo akaagiza huo mji wote wabomolewe nyumba,wateswe n wauwawe
Sent using Jamii Forums mobile app