MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 647
- 781
DRC is volatile,changes might be soonKwenye mkutano wa viongozi wakuu wa majeshi ya nchi wanachama wa SADC, huko Goma, Serena Hotel, badhi ya makubaliano yamefikiwa, ikiwa ni pamoja na haya:
-AFC/M23 kusaidia majeshi ya SADC kuondoka nchini
-SADC kuondoka na silaha zao, huko za serikali ya DRC zikikabidhiwa AFC/M23.
-wataalam wa SADC na M23 kukagua hali ya uwanja wa ndege wa Goma kwa sasa
-SADC imekubali kukarabati uwanja wa ndege wa Goma
-AFC/M23 imeikubalia SADC, kwamba, baada ya ukarabati, itumie uwanja huo kuondoka wanajeshi wake na silaha zao (SAMIDRC).
Kwa kifupi, AFC/M23 ndo mshindi wa vita, na eneo ililopigania, ni haki yake.
Hapo siyo mgambo tena, ni jeshi linalowazidi nguvu. Ni mara chache sana kushinda mechi za ugenini za staili ile.Ina maana SADC wamezidiwa na hao migambo?
SADC hawajataka kukaza..Hapo siyo mgambo tena, ni jeshi linalowazidi nguvu. Ni mara chache sana kushinda mechi za ugenini za staili ile.
Hawa siyo wa UN mkuu, ni wale wa mission ya kupiga kunguru. SAMIDRC. Wa UN bado watakuwepo, hili haliwahusu. Japo, M23 ilishawabana, safari zao ni mjini tuuu, hakuna kwenda nje ya mji. Kwa kifupi hawana kazi ni kuzurura tuDaaaa kuna kjn wangu wa jw sjui mkwanja kapata kama watarud kwa hili saga wamekaaa mission mda mfup wamekosa hela za UN hvhv
ila?SADC hawajataka kukaza..
Kwahiyo vita vimeisha?Hapo siyo mgambo tena, ni jeshi linalowazidi nguvu. Ni mara chache sana kushinda mechi za ugenini za staili ile.
Kuna mawili. Kivu kuwa nchi kama nchi, ikajitegemea, vita hapo mwisho. Kuendelea na kumng’oa rais, Congo ikaendelea kuwa Congo bila kugawanywa.Kwahiyo vita vimeisha?
Ni kweli. Lakini, huyo mbelgiji anawazidi nguvu hawa SADC? Jibu ni hapana. Pia, jambo usilotakiwa kusahau, siasa ni mchezo mchafu. Hata marekani kupitia tume yake, imeshasema serikali haina uwezo wa kulinda raia na mali zao mashariki mwa nchi hiyo. Hivyo, M23 wana sababu za kupigania haki zao. Na kumbuka. Dunia nzima, inategemea eneo hilo. Nani akubali kupoteza biashara yake? Hapo rais keshapata pigo, na akikubali tu, ameisha. Bora tu nchi waigawe, wazungu watakula meza moja na M23.Naskia Belgium imeleta na yenyewe kifurushi cha special forces na mzigo wa kuanzia huko eastern DRC hadi bwana yule kuanza kubwatuka hovyohovyo. Tupe maoni yako.
Sina jibu la moja kwa moja kuhusu uezo wa kijeshi lakini ninachojua ni kibwagizo kile cha "Dunia ya Mungu vitu vya Mzungu"..(jiongeze hapo) Pia unadhani nini kimepelekea kukasirishwa kwa PK kwa ujio wa kifurushi hiki cha wabelgiji ilhali yeye anadai kadhia za duru za DRC haviihusu Rwanda?Ni kweli. Lakini, huyo mbelgiji anawazidi nguvu hawa SADC? Jibu ni hapana. Pia, jambo usilotakiwa kusahau, siasa ni mchezo mchafu. Hata marekani kupitia tume yake, imeshasema serikali haina uwezo wa kulinda raia na mali zao mashariki mwa nchi hiyo. Hivyo, M23 wana sababu za kupigania haki zao. Na kumbuka. Dunia nzima, inategemea eneo hilo. Nani akubali kupoteza biashara yake? Hapo rais keshapata pigo, na akikubali tu, ameisha. Bora tu nchi waigawe, wazungu watakula meza moja na M23.
The same to Gaza strip let us wait and see🙏🙏DRC is volatile,changes might be soon
daah hii fedheha kubwa sana kwa jw. uyo mwamba apo ni km kakubali kishingo upande ivi afanyaje sasa
Kwenye mkutano wa viongozi wakuu wa majeshi ya nchi wanachama wa SADC, huko Goma, Serena Hotel, badhi ya makubaliano yamefikiwa, ikiwa ni pamoja na haya:
-AFC/M23 kusaidia majeshi ya SADC kuondoka nchini
-SADC kuondoka na silaha zao, huko za serikali ya DRC zikikabidhiwa AFC/M23.
-wataalam wa SADC na M23 kukagua hali ya uwanja wa ndege wa Goma kwa sasa
-SADC imekubali kukarabati uwanja wa ndege wa Goma
-AFC/M23 imeikubalia SADC, kwamba, baada ya ukarabati, itumie uwanja huo kuondoka wanajeshi wake na silaha zao (SAMIDRC).
Kwa kifupi, AFC/M23 ndo mshindi wa vita, na eneo ililopigania, ni haki yake.