SADC Hashim Mbita project: Southern African Liberation Struggles

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,791
31,804
SADC HASHIM MBITA PROJECT: SOUTHERN AFRICAN LIBERATION STRUGGLES
Br. Gr Hashim Mbita: Hero of the Liberation Struggle in Africa
Copy-of-Hayati-Hashim-Mbita.jpg

Hashim Mbita stood tall as a hero of the liberation struggle in Africa, and he was widely respected for his principles and dedication.His life touched every person who lives in the region, whether they know that or not.He died in Dar es Salaam, age 81, on Union Day, 26 April, the date that Tanganyika and Zanzibar were united in 1964 to create the United Republic of Tanzania. Unity is the message left behind. He was a proud Tanzanian who became a de facto southern African due to his role in the liberation of the region.

Brigadier-General Mbita (retired) was the Executive Secretary of the Liberation Committee for 22 years, from 1972 until his mission was accomplished in 1994 when the liberation of the subcontinent was completed with democratic elections in South Africa leading to majority rule.

He was honoured by the Southern African Development Community (SADC) with the Sir Seretse Khama medal, and by the African Union with its first “Son of Africa” award.

At the SADC Summit last year in Victoria Falls, Zimbabwe awarded Mbita the highest national honour that can be given to a foreigner, The Royal Order of Munhumutapa. He joined a list of only 6 recipients of that award, and all of the others were founding presidents of their respective countries – Angola, Botswana, Mozambique, Tanzania and Zambia.

The citation reads: “For the important role he played in regional liberation as well as integration during his 20-year tenure as the Executive Secretary of the Liberation Committee of the Organisation of African Unity (OAU) – precursor to the African Union (AU).”

The OAU Liberation Committee was hosted in Dar es Salaam by the government of Tanzania, at the invitation of the founding President, Mwalimu Julius Nyerere, who was Mbita’s mentor, teacher and commander.The Liberation Committee provided and coordinated material support for the African liberation movements who had to fight for independence during a 30-year period from 1963 to 1994, and without that support, most of southern Africa may not yet be independent.

He turned the tide of the liberation struggle in southern Africa when, soon after his appointment in 1972, he visited the liberated areas of northern Mozambique with the Mozambique Liberation Front (Frelimo).He wanted to see the situation on the ground for himself, and determine their needs. He was impressed with what he saw in the well-organized liberated zones, but he learned that they were subject to bombing by the Portuguese colonial forces.

His response was to organize anti-aircraft weaponry for Frelimo, and the rest is history.

Frelimo advanced and the Portuguese military officers soon realized they could not win the colonial wars in Africa. Their Movement of the Armed Forces seized power from the undemocratic and dictatorial regime in Lisbon, opened contacts through various third parties, and entered into negotiations with Frelimo for a transitional government that took office in 1974 and independence in June 1975.Angola gained independence a few months later, in November 1975, followed by Zimbabwe in 1980, Namibia in 1990, and finally, democratic elections in South Africa in 1994.

At a conference held in Arusha, Tanzania to close the liberation committee in August 1994, Mbita titled his statement “Mission Accomplished”.He dedicated the final report of the Liberation Committee to the “gallantry of Africa’s freedom fighters, especially to the memory of those who did not live to see the dawn of this era in Africa. This is a tribute to their courage, a salute to the heroes and heroines of African liberation.

“To Eduardo Mondlane, Amilcar Cabral, Herbert Chitepo, JZ Moyo, Josiah Tongogara, Steve Biko, David Sebeko, Duma Nokwe, Johnny Makatini, Peter Nanyemba, Solomon Mahlangu, and, most recently, Christ Hani and Oliver Tambo, as well as the numerous unknown combatants of the African Liberation Struggle.”

Mbita was born in 1933 in Tabora, in western Tanzania, where his father was a clerk at Tanganyika Railways and he got his son into the elite Tabora Boys School on academic performance, among whose alumni counted Julius Kambarage Nyerere, who became the founding president of Tanganyika and later Tanzania.

Young Mbita was active in the cooperative movement that gave Tanzania most of its early leadership, and joined the pro-independence party, the Tanganyika African Nation Union (TANU) in 1958. He moved to Dar es Salaam the year before independence, when young people, mainly men, were being recruited for in-service training in the colonial civil service in preparation for independence in December 1961.

He was assigned to the press section of the ministry of information, soon becoming press secretary to President Nyerere at State House, and hosting the media during official visits such as that of the then Chinese premier, Zhou Enlai, whom he greatly admired. Mbita rose through the ranks in party and government to become the Secretary-General of TANU before being sent by Nyerere to the Tanzania People’s Defense Force as political commissar. He went for military training in Tanzania, as well as Britain and elsewhere, and excelled, as he had with all of his other assignments.

By then, his president had prepared him for most important assignment of all, that of Executive Secretary of the OAU Liberation Committee. He resolved challenges and celebrated achievements, but he never took any credit for himself. He and his country believed that they were “just doing their duty” to the continent.In addition to his humility and all of his other attributes, one of his long-time close friends gave him the best accolade as “a great human being”

Author: Phyllis Johnson
 
Mzee Mohamed Said

Nilikuwa nataka uje tu Mzee wangu tuendeleze mjadala
Wewe ni mmoja kati ya wazee ninaowaheshimu sana Nchini.

Bramo,
Unajua mimi sasa ni mtu mzima.
Vijana mkinitania kama hivi nafarajika.

Uzee ni mgumu sana kama huna mbinu ya kukwepa upweke.
JF inanichangamsha kupita kiasi.

Nilikuwa nacheka peke yangu baada ya kukusoma.
Haya lete mnakasha tuchakarike.
 
Amini nakuambia hapa JF ni wazee wachache sana wa rika lako ambao wanaweza ku argue na kujenga points the way you.
Kuna siku nilikuona Azam TV ndio nikajua kumbe huyu ni Mzee kabisa.
Sio siri mie nilikuwa nadhan kuna kijana anatumia jina lako before the way ulivyo active
 
..Wazimbabwe walikuja kumhoji Brig.Mbita na hali waliyomkuta nayo walitamani kulia.
 
Bramo,
Unajua mimi sasa ni mtu mzima.
Vijana mkinitania kama hivi nafarajika.

Uzee ni mgumu sana kama huna mbinu ya kukwepa upweke.
JF inanichangamsha kupita kiasi.

Nilikuwa nacheka peke yangu baada ya kukusoma.
Haya lete mnakasha tuchakarike.

..yaani ile response ya Bramo mimi iliniacha hoi.

..eti ile ilikuwa mbinu yake tu kukuita ukumbini?

..hapa nilipo nacheka watu wanadhani kichaa.

..mkuu Mohamed Said, umeweza kuwatembelea hawa jamaa wa Hashim Mbita Project? nadhani watakuwa na taarifa nyingi sana kihistoria za harakati za ukombozi wa kusini mwa Afrika.

..mimi ningependa wa-Tz wengine zaidi ya Hashim Mbita wakumbukwe. Mbita alikuwa zaidi makao makuu, sasa wako wenzake waliokuwa field na hawa wapigania uhuru.
 
Who is this Hashim Mbita??

Kuna Hoja ya kuandika upya historian ya TAIFA Kama watu wanasoma hadi Kiwango cha kuingia JF hawamjui.

Lakini pia inaonyesha hukusoma Makala ya mleta Hoja ...ni ,muhimu ukiingia kwenye thread unaanza na post ya kwanza ...Ili kuelewa ...Jawabu la Mbita ni Nani na katoka Wapi lote limejibiwa na post ya kwanza
 
..yaani ile response ya Bramo mimi iliniacha hoi.

..eti ile ilikuwa mbinu yake tu kukuita ukumbini?

..hapa nilipo nacheka watu wanadhani kichaa.

..mkuu Mohamed Said, umeweza kuwatembelea hawa jamaa wa Hashim Mbita Project? nadhani watakuwa na taarifa nyingi sana kihistoria za harakati za ukombozi wa kusini mwa Afrika.

..mimi ningependa wa-Tz wengine zaidi ya Hashim Mbita wakumbukwe. Mbita alikuwa zaidi makao makuu, sasa wako wenzake waliokuwa field na hawa wapigania uhuru.
JokaKuu,
Hii project mimi nikiijua zaidi ya miaka 15 sasa.
Mtu wa kwanza kunifahamisha alikuwa marehemu Mzee Kanyama Chiume.

Alikuja na ''write up'' yake ofisini kwa marehemu Ally Sykes na mimi nilikuwapo.
Nilikuwa na nakala yake.

Siku zikapita nikasikia kuwa ipo project hii ya sasa na Hashim Mbita anaishughulikia.

Saigon Club kwenye khitma mwaka jana nikasimamishwa tena mbele ya kadamnasi
wakiwemo wakubwa wa nchi hii wastaafu nikapewa jukumu la kuandika ''biography''
ya Hashim Mbita kama nilivyoiandika ya Abdulwahid Sykes.

DSCN1853.JPG

Kushoto Alhad Mussa Sheikh wa BAKWATA, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
na Idd Simba

Leo nilikuwa napita A Novel idea Bookshop ndipo nikaktaafu uta hizo volume za Hashim
Mbita
SADC Southern African Liberation Struggles.

Ziko volume 9 bei 1.2m.

Kuweka historia kwa kweli ni jukumu la taifa na kuna watu wameajiriwa kwa kazi hii.
Itabidi tuwawekee shiikizo wafanye kazi yao vizuri.
 
Mzee Mohamed Said
Amini nakuambia hapa JF ni wazee wachache sana wa rika lako ambao wanaweza ku argue na kujenga points the way you.
Kuna siku nilikuona Azam TV ndio nikajua kumbe huyu ni Mzee kabisa.
Sio siri mie nilikuwa nadhan kuna kijana anatumia jina lako before the way ulivyo active
Bramo,
Ndiyo mimi huyo hapo chini 1952/53.
Kijana kabisa.

VgbfoMY864FtR6vAaNhIQZyShivp4YSoNPT-uLLg8FbMPXJnrEtkZsa44IdHIqGCNTgdfcCuivVh84yCahAXD3kiRqkx4aeHkTfhW4pNVtejDQ7pUrr_TFV6iktBcR_t316RMDgw21aK6MmBqcR93aRx7aEEpPK6VfmApqxJY9GSJ9VkzCd3rRazhCacdrBhnzOTrD1RkICh7ScjfmsHmeIMMm_Y5IUDQIxbPzyfFUV5Q7eeymiJg9EhW5SfwLiF7FyQsGl2sKqxup9C99s7M0kaW4n3yWadqYsHCg55cmWP6fFzn3zTF2moz6f5fjEvKfXP-SHjGxgWSWcvcgi6gsQ9MbteQsFHPqLtVG3LRFDKSgdFm2ZCygErvSo4yu1OzkExN9ZxvVR5IHmWpnOH7B134CqICLepeEAtO0TGlHWtOaUSCIwB8nuJ4hF7xkXLRcwc3TTIhTIfjQF2kmCHcBtmhp3fAvWVceZ8pLSOG98Q2eHhx5iWHeOxYACUlxzB2lLT7MCoCPOYmsTuivpR1jUL1XthnEeuu0HLMa97RP1bwPn-H96uWHR_cood7X2FIJLI=w424-h643-no

Picha hii kanipiga Mzee Shebe Mtaa wa Kipata na Livingstone.

Huyu Mzee Shebe akajakuwa mpiga picha wa kwanza wa TANU
na Nyerere 1954.
 
Wazimbabwe walikuja kumhoji Brig.Mbita na hali waliyomkuta nayo walitamani kulia

Mzee Hashim Mbita alikuwa ni mtu wa kawaida sana ambaye ilkuwa sio rahisi kufahamu kuwa ndie yeye aliyekuwa ameshika nafasi nyingi sana za uongozi wa juu, kwani alikuwa mtu rahimu sana na mwanadiplomasia.

Hata hivyo ningependa kutoa taarifa ifuatayo kuhusu uongozi wa kamati ya ukombozi ya OAU. Katibu mtendaji wa kwanza wa kamati ya ukombozi ya OAU ambayo makao yake makuu yalikuwa Dares Salaam alikuwa marehemu George Magombe; ni baada ya marehemu Magombe ndio marehemu Mbita akateuliwa wadhifa huo!!
 
JokaKuu,
Hii project mimi nikiijua zaidi ya miaka 15 sasa.
Mtu wa kwanza kunifahamisha alikuwa marehemu Mzee Kanyama Chiume.

Alikuja na ''write up'' yake ofisini kwa marehemu Ally Sykes na mimi nilikuwapo.
Nilikuwa na nakala yake.

Siku zikapita nikasikia kuwa ipo project hii ya sasa na Hashim Mbita anaishughulikia.

Saigon Club kwenye khitma mwaka jana nikasimamishwa tena mbele ya kadamnasi
wakiwemo wakubwa wa nchi hii wastaafu nikapewa jukumu la kuandika ''biography''
ya Hashim Mbita kama nilivyoiandika ya Abdulwahid Sykes.

DSCN1853.JPG

Kushoto Alhad Mussa Sheikh wa BAKWATA, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
na Idd Simba

Leo nilikuwa napita A Novel idea Bookshop ndipo nikaktaafu uta hizo volume za Hashim
Mbita
SADC Southern African Liberation Struggles.

Ziko volume 9 bei 1.2m.

Kuweka historia kwa kweli ni jukumu la taifa na kuna watu wameajiriwa kwa kazi hii.
Itabidi tuwawekee shiikizo wafanye kazi yao vizuri.

Kwanini bei ghali hivo ...nilienda siku mmoja kutaka kununua kitabu cha Mkapa ..alichokusanya hotuba Ombeni ni volume mbili lakini ghali laki 4
 
Bramo,
Ndiyo mimi huyo hapo chini 1952/53.
Kijana kabisa.

VgbfoMY864FtR6vAaNhIQZyShivp4YSoNPT-uLLg8FbMPXJnrEtkZsa44IdHIqGCNTgdfcCuivVh84yCahAXD3kiRqkx4aeHkTfhW4pNVtejDQ7pUrr_TFV6iktBcR_t316RMDgw21aK6MmBqcR93aRx7aEEpPK6VfmApqxJY9GSJ9VkzCd3rRazhCacdrBhnzOTrD1RkICh7ScjfmsHmeIMMm_Y5IUDQIxbPzyfFUV5Q7eeymiJg9EhW5SfwLiF7FyQsGl2sKqxup9C99s7M0kaW4n3yWadqYsHCg55cmWP6fFzn3zTF2moz6f5fjEvKfXP-SHjGxgWSWcvcgi6gsQ9MbteQsFHPqLtVG3LRFDKSgdFm2ZCygErvSo4yu1OzkExN9ZxvVR5IHmWpnOH7B134CqICLepeEAtO0TGlHWtOaUSCIwB8nuJ4hF7xkXLRcwc3TTIhTIfjQF2kmCHcBtmhp3fAvWVceZ8pLSOG98Q2eHhx5iWHeOxYACUlxzB2lLT7MCoCPOYmsTuivpR1jUL1XthnEeuu0HLMa97RP1bwPn-H96uWHR_cood7X2FIJLI=w424-h643-no

Picha hii kanipiga Mzee Shebe Mtaa wa Kipata na Livingstone.

Huyu Mzee Shebe akajakuwa mpiga picha wa kwanza wa TANU
na Nyerere 1954.

Mzee Mohamed Said ....wewe ni hazina yetu...naomba uwaeleze wazee wengi wanaojuwa mambo Kama wewe wawe nao wanakuja ........tunaomba uendelee kutoa darsa mara kwa Mara

Sijakupa sifa picha yako nzuri na kwa miaka Hiyo ni wachache walipata Bahati ya kupigwa picha
 
Phillemon Mikael,
Huwa nawaambia watu kuwa mimi nilipata bahati ya kuzaliwa na wazee wale
katika kipindi kile.
 
Mohamed Said,

..wakati mwingine historia ikiandikwa na warasimu basi inakuwa sawa na kusoma gazeti.

..mimi uandishi wako naukubali. naweza nisikubaliane na kile ulichoandika, lakini napenda namna ile ya uandishi wako.

..maisha ya Abdul Sykes yanaweza kuandikwa na mtu mwingine yeyote. lakini sidhani kama historia hiyo itakuwa na mvuto kuliko vile ulivyoaindika wewe.

..U r a historian, and a good story teller.
 
Kwanini bei ghali hivo ...nilienda siku mmoja kutaka kununua kitabu cha Mkapa ..alichokusanya hotuba Ombeni ni volume mbili lakini ghali laki 4
Phillemon,
Katika misiba ya nchi yetu ni vitabu kuwa ghali.
Mohamed Said,

..wakati mwingine historia ikiandikwa na warasimu basi inakuwa sawa na kusoma gazeti.

..mimi uandishi wako naukubali. naweza nisikubaliane na kile ulichoandika, lakini napenda namna ile ya uandishi wako.

..maisha ya Abdul Sykes yanaweza kuandikwa na mtu mwingine yeyote. lakini sidhani kama historia hiyo itakuwa na mvuto kuliko vile ulivyoaindika wewe.

..U r a historian, and a good story teller.
Phillemon Mikael,
Mhariri aliyehariri kitabu cha Abdul Sykes na yeye aliniita ''story teller.''
Haya maneno aliyaandika kwenye ''note'' ambayo alimpa ''publisher''
anipe.

Hili jina nimelipenda.
 
Back
Top Bottom