Sad truth: Tunaishi maisha ya kuku

Nakumbuka miaka ya nyuma jamaa flani jirani alikuwa na kadegree flani hivi akapata ajira inayomlipa vizuri na kujenga ghetto fresh. Ila alikuwa anadharau tukimtembelea anatuzuia getini na kutuambia mko kama jamii ya kuku na ndege hamtulii kazi kutagataga tu na kama mnataga lazima mje kutaga hapa?Midume mizima mnataga hamna aibu? Yani kila tawi mnatua tu mko duniani kukera wengine.

Yani sitasahau na huu msemo nilimuiga nautumiaga hata humu kuwawini kisaikolojia MATAGA.

Lakini jamaa ni miongoni mwa watu waliotumbuliwa na Jiwe kwa kuwa na vyeti feki.
Lakini nyumba ipo haijatumbuliwa😅
 
Kuku akiamka tu anawaza kula tu akishiba kidogo ataanza kutafuta mbususu ataichapa then ataendelea kutafuta chakula hivyohivyo cycle inaendelea mpaka ikifika jioni anaenda zake kulala akiamka hivyohivyo hadi cku atakapochinjwa

Sad truth: binadamu (wabongo) tuliojaaliwa akili na utashi na ambao tunajua lengo la maisha siku hiz tunaishi kama kuku tu, tukishiba tu tunawaza mbususu ndomana easy tu kusikia jana "nimekula tunda kimasihara" so sad
Easy tu kusikia jana kafumaniwa na mke wa rafiki yake so sad



Hata maendeleo yetu yanakuja acidentally due to zero focus

Jamani kichwa cha juu sio kazi yake kula matonge tu, then kukiachia majukumu yaliobaki kichwa cha chini

Na nyiny wakina dada musijilinganishe na bidhaa bana

Ngoja nikapate kimoja kwanza kwa wife then nitarud
View attachment 1961360

Sent using Jamii Forums mobile app
I reserve my comment until further notice
 
Back
Top Bottom