Sad Story

Aiyaaa..... aisee hii ni nouma kabisa mzee.......................
 
Uwiiiíi! Oooh! Mama weeeee! Whuuuu! Jamani nifuteni machozi.
 
hahahahaha itabidi aanzishe darasa

hapo sasa!! labda tuongee na Russian Roulette maana ye si ndo mwalim wa lugha humu mjengoni?? kafungua darasa la kifaransa lakini nahisi linanishinda mi nimezoea kituruki..lol
 
Asee ni dozi ya malaria inanchanganya
ama nshakuwa steve wonder???
Naona nyotanyota tuu hapa
au kilongalonga changu cha kichina na nusu lol ngoja nipige
maziwa kwanza labda ntafufuka khaaaaaa
 
Kumbe na wewe imekusikitisha kama mimi?? nimelia mbaka mafua!
kweli inaliza....... [/QUOTE]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…