Sad samsung: Je ni kweli?

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
3,095
Reaction score
2,294
ni kweli kuhusu kushuka kwa mauzo ya S5 vs iPhone 5S??


Source: techcrunch
 
Yashuke,yasishuke miye nitaendelea kutua bidhaa zao hasa simu !
 
Samsung Huwa Wanaongoza na kumzidi Apple wakilinganisha mauzo yao yote ya Samsung galaxies... Ila kwa flagship moja haij tokea ... Hata androids wanajishindanishaga sana kua wamemzidi Ios kwenye market share ila ios inatumika kwa manufacture m1 tuu ilhali androids n manufacture zaidi ya 75
 
Mauzo ya S5 yako.chini ata na ya S4. Ila kwa flagship ya Sammy haiwezi kuugusa moto wa iPhone. Samsung akitoa S5 mfano, vinakuja vi-variant kibao vya hiyo S5, sasa vyoote jumla ndio wanavicompare na flagship la Apple.
 
Speculations kuhusu Iphone zinashusha mauzo ya Flagship ya Samsung
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…