Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Kama ameiba mwambie Slaa aende mahakamani sio kuleta porojo tu humu.
subutu!..
Thubutu!
Mwacheni mzee wa watu apumzike bana..umasikinicwako binafsi usimlaumu lowassa
Sema CDM mko macho sio watanzania, Lowasa atachaguliwa na watanzania tena wa miji hiyo hiyo ulio itaja. Mwisho wa maneno ni kwenye sanduku la kura. Hata kura yako itakua ya Lowasa, upende usipende.unajua kwanini kikwete alifanikiwa kuwa raisi tena kwa zaidi ya asilimia 80? safari michezo yao tunazijua waanzishe magazeti wafungue radio station watakavyo lakini watanzania tuko macho mwambie akatize A town,shy,mwanza,mbeya..labda atakwa raisi wa wewe na mmeo..
Kama ndo hivyo kwanini msimkabizi ufunguo wa Ikulu sasa hivi; hamna kwamba Nnape anaipeleka nchi kubaya????Huyu ndio atakuwa rais wako 2015 na ndio atawashikisha adabu nyie gwandaz. Sijui mtakimbilia wapi.
Namtakia maisha marefu Ed Lowasa,
Ashuhudie M4C inavochukua nchi 2015,
He should live long enough to be prosecuted for crimes against humanity,
For killing and disabling millions,
Long enough but painful life behind bars.
Happy Birth day Lowasa.