Sad!! Au Tunadanganywa????

Mzee Mzima

Senior Member
Mar 31, 2008
159
47
please i need help on this,

i think military personnel anapoenda on a mission in a foreign country anavaa combat yenye bendera ya nchi yake on the arm and cap, haiwezekani kuvaa bendera ya nchi nyingine, {please help if i'm wrong}

sasa inawezekana askari wa iraq akavaa combat halafu ina bendera ya Tanzania??

au tuna majeshi yetu kule na tunadanganywa tuuuuu????? please check this one and explain kidogo nielewe........

:confused:

confirm from here..
[media]http://news.yahoo.com/nphotos/US-Military-Diyala/ss/events/iraq/010403armedforces/im:/080810/photos_ts/2008_08_10t083551_373x450_us_iraq_zebari/[/media]
 
Back
Top Bottom