SACP Murilo afanya ukaguzi katika Mkoa Kipolisi Ilala

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,514
Reaction score
2,290
Picha mbalimbali katika ukaguzi wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam SACP Murilo Jumanne Murilo leo Septemba 24, 2025 Mkoa wa Kipolisi Ilala.

Kamanda Murilo ameanza ukaguzi katika Mkoa wa Ilala kwa mujibu wa kanuni za Jeshi la Polisi ili kuhakikisha huduma bora za usalama zinaendelea kutolewa kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam

1758721495315.png

1758721531882.png

1758721567519.png

1758722365209.png
 
Picha mbalimbali katika ukaguzi wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam SACP Murilo Jumanne Murilo leo Septemba 24, 2025 Mkoa wa Kipolisi Ilala.

Kamanda Murilo ameanza ukaguzi katika Mkoa wa Ilala kwa mujibu wa kanuni za Jeshi la Polisi ili kuhakikisha huduma bora za usalama zinaendelea kutolewa kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam

Anasumbuaaa tuuu hakuna jipya muda kustaafu umefikaaà
 
Back
Top Bottom