Nahisi walikuwa wametumia muda wote huo kumframe kwamba ni Mkenya. Bahati nzuri ubalozi wa Kenya unahakiki hilo. Kova atakujakuwa impeached for his liesTumejenga taifa la watu waongo waongo na wahuni. Believe me you,hakuna atakaye jiuzulu wala kukili makosa.
Honeyfor this case i support you
i hate my government kwa kuundanganya UMMA
Hawa wote Kova na msangi inabidi wauwawe:nerd::nerd:
msizani watu wote tanzania huwa wanakurupuka, kila kitu kina taratibu zake sio kutangazatangaza tuu, walikuwa wanafuatilia taratibu thats why walichelewa, pia suala la kuachia ngazi halina maana coz mtu mwenyewe alitamka( kama alivyosema mchungaji) sasa kulikuwa na sababu gani mbaya ya kusema kuwa wanamshikiria na uchunguzi unafanyika. TUWE NA SUBIRA MAJIBU MAZURI TUTAPATA TUSIWE WAKURUPUKAJI TUUKutokana na kutoa taarifa za uongo zinazoendelea kulichafua jeshi la pilisi pamoja na serikali, Its time now viongozi hawa wawajibike kama kweli hawako pale kisiasa. They must respect the Police Army and citizens of Tanzania, si kwa nia mbaya ni kwa kujali zaidi maslahi ya nchi na mustakabli wa taifa na usalama wake.
Kova na Mwema wajiudhuru kuonyesha nidhamu jeshinu, uungwana na professional ethics.
for this case i support you
i hate my government kwa kuundanganya UMMA
Hawa wote Kova na msangi inabidi wauwawe:nerd::nerd:
Kikwete na Pinda ndo wauwe kwa kuwaua wagonjwa kwa kutokutimiza ahadi yao kikatiba ya kulinda afya ya mtanzania.kama kova na msangi wauwawe kwa kudanganya umma! Basi na madorctor wauwawe kwa kugoma na kusababisha vifo kwa wagonjwa!