Dadio JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 359 Reaction score 42 Nov 13, 2016 #1 Habari wadau?kuna sabun ya kuogea inaitwa active naweza kuipata wap au mtu mwenye namba za wasambazaji wake an pm tafafadhali.
Habari wadau?kuna sabun ya kuogea inaitwa active naweza kuipata wap au mtu mwenye namba za wasambazaji wake an pm tafafadhali.
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,175 Nov 13, 2016 #2 mara nyingi wanafanya door to door promotion maeneo ya kitumbini, mnazi mmoja na kariakoo na ofisi zao ziko maeneo ya tabata bima kuhusu mawasiliano nimepoteza namba zao za simu.
mara nyingi wanafanya door to door promotion maeneo ya kitumbini, mnazi mmoja na kariakoo na ofisi zao ziko maeneo ya tabata bima kuhusu mawasiliano nimepoteza namba zao za simu.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 13, 2016 #3 Ndio nimeiona leo kwa mara ya kwanza
Dadio JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 359 Reaction score 42 Nov 14, 2016 Thread starter #4 Asante mkuu... Kama kuna mtu mwenye mawasiliano yao tafadhali anipatie