Sabrina Sharrif..

Huyu dada mzuri shombe shombe flani hivi wa kiarabu alikua anatangaza taarifa ya habari kwa lugha ya kingereza pale ITV aliendaga wapi? mwenye taarifa zake au hata namba zake anitumie tafadhali..

Nnaemjua ni sabrina salim..alikuwa ITV, na kwa sasa yupo kituo kikubwa/AZAM TV
 
Halafu ukishajua alipo na kupata namba yake inakuaje?
 
Ndo Yule alikua kwenye 'kifuatacho Itv'? Last time nimemuona nlipoenda WATOTO show 2003! Enzi za anty lulu Na uncle Abdul!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…