kama unapointi hivi.ngoje waje wenyewe watatusaidiaKama mtakumbuka mwaka jana mzee sobodo alitoa zaidi ya TShs 300 mill kwa ajili ya kuchimba visima vya maji safi ktk majimbo yote ya CDM nchini sijui mradi huu umeanza? Na umefikia wapi? Kama bado why? Naomba kujuzwa jamani
Mchaga na pesa kama fisi na mifupa!
Angekuwa kijana kijana ningesema anataka kutangaza nia..Lakini kwa umri wake naamini ni msaada wa ukweli...!
Mungu ambariki sana huyu mzee, maana ameamua kuwa wa msaada kwa jamii!