PANAPO MAJARIWA, JENGO LITAKAMILIKA MWISHONI MWA MWAKANadhani wamejengea tumboni.
Labda umeuzwa weweChadema imeshauzwa...
Bure kabisaNadhani wamejengea tumboni.
unaonekana jobless, hopeless na usiye na dira......Kamanda kwani jengo lenyewe lipo wapi?
Ukishajua itakusaidia nn? mwana ccm walitakia nn Jengo LA chadema? Mkuu uvccm inapotea kwa kasi km si kufa kabisa ni busara mkaiangalia kwa jicho LA tatu kuliko kupoteza muda na cdmKamanda kwani jengo lenyewe lipo wapi?
Unapenda sana kunitukania mamangu kakukosea nini? Dawa yako ipo jikoni inachemka!Ni kweli kabisa mimi jobless wala hujakosea lakini cha ajabu bi mkubwa wako kanipendea hicho si unajua sisi majobless kazi ni moja tu.
Tusi ni tusi tu haijalishi lina uzito gani. Ukitaka usutukanwe, nawe jizuie kutukana. Kwani kulikuwa na ulaxzima gani wa kumtukana ni jobless, asiye na dira?Unapenda sana kunitukania mamangu kakukosea nini? Dawa yako ipo jikoni inachemka!
Ili mkweke X mapema mseme ni eneo la wazi!!Lipo sehemu hilo jengo tufahamishe mkuu.
hahaaa!! sababu ya kijinga kweli sasa jiji si liko chini yenu kwani shida iko wapiIli mkweke X mapema mseme ni eneo la wazi!!