Mashishanga hajafurahishwa na kauli ya Sabodo alipomwambia Dr Slaa anatamani CCM ishindwe uchaguzi wa 2015 na akaahidi kumchangia mgombea urais wa Chadema shilingi milioni 500.
Sasa hapo nani ataumia? Ni CCM inayomtegemea Sabodo au ni Sabodo anayeitegemea CCM
Mashishanga anafikilia kwa kutumia 'masabuli'