RIP marehemu, hii kampuni ya sabena mwenzi wa 7 au 8 hivi iliua watu karibia 1o ikielekea mbeya, tukaambiwa imefungiwa na mmiliki kakamatwa, hivi ilifungiwa mbeya tu au kote na kama ni maeneo yote iliruhusuwa lini?
Mkuu siasa za bhongo, unafungiwa then unatoa mlungula unarud kazn, mana wakuu na wamilik wana share hsa, mhmu serkal ya ccm imeshndwa kupunguza ajal 2015 Tujpange.