Hlo linaitwa 'fao lakujiondoa'. Yani unapewa michango yako yote uliyochangia tangu ujiunge uanachama.
Hii ni tofauti na wale wanaostaafu kutokana na umri. Yani ukishakuwa mwanachama wa mfuko kwa mda wa miaka kumi, basi unakuwa entitled na terminal benefits plus nusu ya mshahara wako kila mwezi mpaka unakufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.