Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
1. Suala la Simba kuendelea ku'mng'ang'ania Kelvin Yondani(Reffer to viapo vya Mh Mwenyekiti ambavyo amekuwa akivitoa kila mara kuwa atahakikisha Yondani hachezei Yanga ligi kuu.)
Yanga inaelewa kuwa huyu Mzee (Mh Rage) ni mmoja wa wazee wazuri sana kwa fitina za soka la hapa Bongo,na ksbb viongozi wa Shirikisho wakati mwingine huyumbishwa na hizi siasa za U'Simba na Yanga, Yanga wameamua ku'hedge mapema kwa kuhakikisha wanamtwaa beki huyo Kisiki aliyefanya vema kwenye michuano ya Kagame iliyomalizika hivi karibuni, ili hata kama ikatokea huyu Mzee akamwaga sumu zake kule TFF Yondani akashindwa kuitumikia Yanga basi kuwe hakuna pengo.
Ni dhahiri kuwa kama Viongozi wa Simba angeweka ustaarabu mbele na kumwacha mchezaji achezee team anayoitaka,Yanga isingekuwa na sababu ya kumtwaa Twite tena ksbb ukimjumuisha na Yondani tayari Yanga ilishatengeneza ukuta mzuri wa beki line.
Kwahiyo katika hili Mdomo wa Mheshimiwa ndo tatizo.
2. Tambo za Msemaji(ovyo) wa Simba. Bwn Ezekiel Kamwaga
Wakati mwingine unaweza kusikiliza au kusoma habari za Kiongozi wa team kubwa yenye heshima kubwa hapa nchini ukastaajabu,tambo hizo zinazoweza kufanana na zile zinazotolewaga na Vijana walio katika balehe pale mmoja anapomzidi kete mwenzake kwa msichana fulani zinapatikana hapa:-
Shaffih Dauda in Sports.: HIVI NDIVYO ADEN RAGE ALIVYOWAPIGA BAO YANGA NA KUMSAINI MBUYI TWITE
Ni dhahiri kuwa tambo hizi ziliamsha hasira za Wapiganaji wa Yanga ambao mpk wakati zinatolewa walikuwa wameshakubali matokeo,baada ya kusoma hizi tambo wakaamua kurudi tena msituni na kuyafanikisha haya yaliyotokea.
Hapa tena,mdomo wa mmoja wa Viongozi wa juu ukawa umeigharimu team yake.
3.Kashfa za Mheshimiwa Rage dhidi ya Mpiganaji Binkleb:
Wakati wakiamini (kwa mtazamo wao) kuwa wameshalimaliza suala la Twite Mwenyekiti wa Simba akiwahutubia Wanachama wake katika mkutano wao mkuu alimwaga kashfa nzito sana juu ya Mjumbe wa amati ya Utendaji wa Yanga na Mpiganaji mashuhuri wa masuala ya usajili ya Club hiyo Ndugu Abdalah Binkleb.
Rage alimdhihaki Binkleb kwa kumwambia kuwa yeye ni Kijana mdogo sana na kamwe hawezi kushindana na yeye katika masuala ya fitina za kisoka na ndo maana alimshinda kiraisi kwenye vita ya kusaka signature ya Twite kule Kigali.
Kashfa hizo zilimsikitisha sana Binkleb ambaye alinukuliwa na gazeti 1 la michezo lililoongea naye kwa simu akielezea kuchukizwa na kashfa hizo ambapo aliahidi kuwafanyia kitu mbaya watoa kashfa hizo.
Na haya yaliyotokea ndo matokeo ya hasira za kukashifiwa kwake.
Kwa mara nyingine tena Mdomo wa Mheshimiwa Rage ukawa umechangia katika kuigharimu team yake.
Niki summarize, sababu kuu za Yanga kumtwaa Twite ni midomo ya Viongozi wa Simba,tayari kuna dalili za madhara mengine ya mdomo kuibuka anytime,safari hii kwa Mwenyekiti mwenyewe kwasababu tayari anatakiwa kutoa ushahidi wa malalamiko yake ya kuwa kuna mtoto wa Kigogo anahusika katika suala la beki huyu.
Mdomo jamani,midomo hiyo......
Nawasilisha.