Sababu za watu watu wana DIMPLES

Kuna utafiti ulikuja na matokeo kuwa wanawake wenye makalio makubwa "sio ya mchina" wana uwezekano mkubwa wa kupata watoto wenye akili "IQ" nyingi sana.. Hawa wataalam wana mengi ya kustaajabisha
 
Awe na dimples na sura nzuri kidogo jamani,sasa wengine ana dimples ukija kwenye sura yake balaa.
 
Reactions: irk
Kufa kufaana mkuu. Ulemavu kwa mhusika urembo/uzuri kwa wengine...
 
Hata mwanya ni ulemavu kwa wazungu na wanauchukia ila bongo tunaupenda. Ifike pahala tuache kuona wazungu ndio standard ya ubora.
Hebu ona huyo Dada hapo alivyopendeza na dimpo yake
Umenchekesha sana kuwa tuache kuwaona wazungu ndiyo TBS wa ubora [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Tafifi nyingine bhana n shidaaaaa, kwa hiyo watu wrote wanakasoro inayofanana? Mana ni kwenye shavu n kidevu ndo zilipo kwa nini isitoke sehem yoyote kwenye mwili au sehem yeyote kwenye uso? Why sehemu mbili? Dimponzi n pambo asili ndani ya uso wa mwanadamu ndo mana waliotunukiwa n wachache kati ya wengi
 
Very shallow kasome tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…