Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,689
- 19,458
😀😀😀, huwa simshangai Bana, huwa nawashangaa wanaokwenda kwake kuchukua maoniNilivyoona tuu Bana nikashindwa kumalizia kusoma
😀😀😀, huwa simshangai Bana, huwa nawashangaa wanaokwenda kwake kuchukua maoniNilivyoona tuu Bana nikashindwa kumalizia kusoma
Ndivyo walivyo waumini wa mpinga kristo...Sasa Jiwe huwa anafanya kinyume chake anaangalia wale mnaowasema hawaoni siku si nyingi mtasikia anateuliwa
Hili nalo ni neno?Inakuaje wabunge na madiwani wa vt mahalum hawahami na kusapot utendaji kaz wa magu?kuna nini hapa
Inakuaje wabunge na madiwani wa vt mahalum hawahami na kusapot utendaji kaz wa magu?kuna nini hapa
Ulitegemea kada ataongea kinyume,sema teuzi zinampitia kushoto.Huyo Bana pamoja na PhD yake hana tofauti na wajinga wengi watumiao elimu yao kwa manufaa ya matumbo yao
Yule ni sawa na TBC hawawezi sema kinyume.SIO MJINGA...AMESEMA 'KIMKAKATI'...
TEUZI ZINAENDELEA..
Siwezi kumaliza thread ambayo ndani yake kuna jina la Dr Bana.Nilivyoona tuu Bana nikashindwa kumalizia kusoma
Hawapigiwi kura wale,hivo 1.5 zinawapitia kushoto.Inakuaje wabunge na madiwani wa vt mahalum hawahami na kusapot utendaji kaz wa magu?kuna nini hapa