Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,169
- 48,681
Ushoga husababishwa na sababu kuu 2.
1. Sababu za kimazingira
Hapa tunagusa tabia za wazazi kuwalaza kitanda kimoja watoto wa kiume waliobalehe na wasiobalehe. Balehe inakuja kwa nguvu hali inayopelekea mmoja kumvizia mwenzake alale amf...re.
Maisha magumu, watoto wa mjini sasa hivi shule wanatumia sh. elfu 1 mpaka elfu 2 kwa siku. Na familia duni hutumia kati ya mia 5 mpaka buku. Hapa mwanao anaweza kuf...rwa na muuza genge au mwanafunzi mwenzake.
Maisha ya kuiga, malezi n.k.
Ingawa hapa Kuna sababu zaidi ya 10 lakini sababu za kimazingira huchangia ushoga kwa % chache sana. Yawezekana ikawa under 20%.
2. Sababu za Kiroho( spiritual reasons).
Hii ndio huchangia ushoga kwa asilimia zaidi ya 80%. Hapa tunagusa mapepo, kuna mapepo maalumu ya kunajisi vijana na watoto, wakike huvikwa uanaume fake na wànaume huvikwa ukike fake.
Pia wakati wa ujauzito kama mama atakuwa na feeling kubwa na za mara kwa mara kuwa amebeba mtoto wa kike na mwisho wa siku anazaa wa kiume automatically mtoto anazaliwa na feeling/roho ya kike. Kinyume chake pia inaapply.
Ushoga unaepukika
kataa ushoga.
Jua michezo anayocheza mwanao