T tetea tete JF-Expert Member Joined Jul 19, 2015 Posts 388 Reaction score 127 Jul 26, 2015 #41 Lole hacha ujinga usipende kuropoka una uhakika Na usemayo watu wengine bwana hovyo
C Camp Gilgal JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,453 Reaction score 4,594 Jul 26, 2015 #42 Bobwe2 said: Njoo uweke mkutano zanzibar kati ya chadema na cuf ukitoka hapo najua utaamini kwamba cuf ni muhimu kwenye ukawa. Click to expand... Yes, kwa upande wa Zanzibar Cuf ni wengi...Ila bara ambapo kuna over 90% ya voters Cuf itabaki historia ikijitoa Ukawa. Ukawa imewapa uhakika wa kupata nafasi za ubunge tena kwenye majimbo yenye maelfu ya watu. Watajutia!
Bobwe2 said: Njoo uweke mkutano zanzibar kati ya chadema na cuf ukitoka hapo najua utaamini kwamba cuf ni muhimu kwenye ukawa. Click to expand... Yes, kwa upande wa Zanzibar Cuf ni wengi...Ila bara ambapo kuna over 90% ya voters Cuf itabaki historia ikijitoa Ukawa. Ukawa imewapa uhakika wa kupata nafasi za ubunge tena kwenye majimbo yenye maelfu ya watu. Watajutia!
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,625 Reaction score 14,591 Jul 26, 2015 Thread starter #43 tetea tete said: Lole hacha ujinga usipende kuropoka una uhakika Na usemayo watu wengine bwana hovyo Click to expand... Ni vema tusiwe na vichwa vya panzi na tujiulize maswali magumu na tupate majibu yake.Sasa hebu tujuze mgombea wa UKAWA ni nani hivi sasa?
tetea tete said: Lole hacha ujinga usipende kuropoka una uhakika Na usemayo watu wengine bwana hovyo Click to expand... Ni vema tusiwe na vichwa vya panzi na tujiulize maswali magumu na tupate majibu yake.Sasa hebu tujuze mgombea wa UKAWA ni nani hivi sasa?
A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,040 Jul 26, 2015 #44 unahangaika sana , kila siku lazima ufungue thread kuhusu ukawa. Na bado mwaka huu mtakoma , hiyo ni bashrafu tu.
unahangaika sana , kila siku lazima ufungue thread kuhusu ukawa. Na bado mwaka huu mtakoma , hiyo ni bashrafu tu.
Lole Gwakisa JF-Expert Member Joined Nov 5, 2008 Posts 4,776 Reaction score 2,389 Jul 26, 2015 #45 asakuta same said: unahangaika sana , kila siku lazima ufungue thread kuhusu ukawa. Na bado mwaka huu mtakoma , hiyo ni bashrafu tu. Click to expand... Sasa wewe mwenye akili za Kikawa zaidi kuliko wengine hebu tujuze. Mgombea wa urais UKAWA ni nani?
asakuta same said: unahangaika sana , kila siku lazima ufungue thread kuhusu ukawa. Na bado mwaka huu mtakoma , hiyo ni bashrafu tu. Click to expand... Sasa wewe mwenye akili za Kikawa zaidi kuliko wengine hebu tujuze. Mgombea wa urais UKAWA ni nani?
Lole Gwakisa JF-Expert Member Joined Nov 5, 2008 Posts 4,776 Reaction score 2,389 Jul 26, 2015 #46 Ruttashobolwa said: Teh TehView attachment 271337 Click to expand... UKAWA umoja wa vyama vya wajuaji wengi!
Ruttashobolwa said: Teh TehView attachment 271337 Click to expand... UKAWA umoja wa vyama vya wajuaji wengi!
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,625 Reaction score 14,591 Jul 27, 2015 Thread starter #47 Lakuchumpa123 said: Du, Siku hizi MUSSA ALLAN umebadilika sana Click to expand... Kisha tembelewa na wachawi!!!
Lakuchumpa123 said: Du, Siku hizi MUSSA ALLAN umebadilika sana Click to expand... Kisha tembelewa na wachawi!!!