Sababu za UKAWA kukaribia kusambaratika

Issue ni Mfumo Mbaya Ndani ya CCM, Mfumo unaotoa Mwanya wa Kujinufaisha Wanyenafasi za Uraji Huku wengi Wanyonge Wakiachwa Pembezoni.

Lowassa Hana tatizo, Tatio ni CCM wala si Mtu.
hii kali tena, du!
 
Na hata ikitokea kweli, CDM watabenefit kuliko wenzao. Wao walikuwa wanajijenga muda wote ule wakati wenzao wamekaa Dar. Hata sasa hivi, hatusikii Cuf & Nccr wakifanya kitu...Anyways, tuombe umoja udumu kwani ni nguvu.
 
UKAWA haiwezi kusambaratika kienyeji hivyo.
 
Na hata ikitokea kweli, CDM watabenefit kuliko wenzao. Wao walikuwa wanajijenga muda wote ule wakati wenzao wamekaa Dar. Hata sasa hivi, hatusikii Cuf & Nccr wakifanya kitu...Anyways, tuombe umoja udumu kwani ni nguvu.
UKAWA=CHADEMA-(NCCR+CUF)

Lakini CUF tayari wamefanya official, wameshajitoa.
 
Ukawa nao ni wachumia tumbo ndio maana wanavurugana nani wa kuwa mgombea urais.
 
Njoo uweke mkutano zanzibar kati ya chadema na cuf ukitoka hapo najua utaamini kwamba cuf ni muhimu kwenye ukawa.
 
Endeleeni kuota ndoto za mchana mpaka mkonde
 
UKAWA=CHADEMA-(NCCR+CUF)

Lakini CUF tayari wamefanya official, wameshajitoa.
CUF wakijitoa wao ndio wanapoteza tena sasa ndo hawatapata hata mbunge mmoja bara. ila watawasaidia CCM kuongeza wabunge kutoka 15 watakaopata kufikia ishirini.
 
Ukawa nao ni wachumia tumbo ndio maana wanavurugana nani wa kuwa mgombea urais.
Mpaka sasa hawana mtu wa kushika bendera ya wana UKAWA maana woote wanaweka matumno yao mbele.
Hakuna cha Slaa , Mbowe wala Lipumba.

Upinzani sasa hivi ni ulaji mbadala wa mashetani CCM.
 
Mpaka muda huu, UKAWA ni kizungu mkuti .
Hakijulikani wala hakieleweki, matumbo kwanza na wananchi baadaye.
Kinachowapasua kichwa ni Fisadi Lowasa kuwanunua.
Inaelekea UKAWA hawajakubaliana dau la kununuliwa na mafisadi.
By Manyerere Jackton
]
 
Mkuu una LOWASSAMANIA , upenzi wa kiza kiza na Ulowassa!
Nafikiri huna habari kuwa kitambo sasa Lowassa KAKATWA!
Ungemsoma vizuri ungemwelewa na wewe pia kuangalia kauli yako. Kwa hiyo wote waliokarwa ni mafisadi? Na ikiwa chama kinawachukia sana mafisadi kwa ni n i bado ninwananchama halali na wengine wanagombea nafasi za uongozi? Acheni kampeni za rejareja ambazo kama anavyosema uliyemjibu zinaumiza chama badala ya kukijenga!
 
Hamieni ACT chama cha kizalendo, chama chenye sera na dira yenye kueleweka, chama chenye siasa za kiafrika na za kitanzania, siasa zisizo na vurugu wala harakati, chama cha wazalendo, ACT ni sera tu na mipango, karibuni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…