1987SANAWA JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 430 Reaction score 560 Mar 8, 2018 #1 Wakuu kuna mtu nilikuwa nawasiliana nae kama nusu saa hivi imepita, lakini cha ajabu muda huu nampigia naambiwa namba yake imefungiwa. Naomba kuelimishwa sababu hasa za namba ya simu kufungiwa.
Wakuu kuna mtu nilikuwa nawasiliana nae kama nusu saa hivi imepita, lakini cha ajabu muda huu nampigia naambiwa namba yake imefungiwa. Naomba kuelimishwa sababu hasa za namba ya simu kufungiwa.