K Kiboko Yenu JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 311 Reaction score 66 May 5, 2012 #1 nimezipata kwamba kijana alipima upepo akajua mwaka huu hawezi tena kuukwaa uenyekiti wa uvccm mkoa wa arusha ndo maana akasepa ili kuepuka fedheha
nimezipata kwamba kijana alipima upepo akajua mwaka huu hawezi tena kuukwaa uenyekiti wa uvccm mkoa wa arusha ndo maana akasepa ili kuepuka fedheha
Ndebile JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 8,247 Reaction score 12,766 May 5, 2012 #2 Kiboko Yenu said: nimezipata kwamba kijana alipima upepo akajua mwaka huu hawezi tena kuukwaa uenyekiti wa uvccm mkoa wa arusha ndo maana akasepa ili kuepuka fedheha Click to expand... kuishabikia sisiem lazima uvute sana bangi!
Kiboko Yenu said: nimezipata kwamba kijana alipima upepo akajua mwaka huu hawezi tena kuukwaa uenyekiti wa uvccm mkoa wa arusha ndo maana akasepa ili kuepuka fedheha Click to expand... kuishabikia sisiem lazima uvute sana bangi!
M Mwikimbi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,762 Reaction score 835 May 5, 2012 #3 Of course asingeweza kuupata huo uenyekiti wa chama mfu, kwa kuwa yeye si sehemu ya wafu! Ulitaka awe wafu ndo mumpe uenyekiti?
Of course asingeweza kuupata huo uenyekiti wa chama mfu, kwa kuwa yeye si sehemu ya wafu! Ulitaka awe wafu ndo mumpe uenyekiti?
MD25 JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 3,074 Reaction score 1,030 May 5, 2012 #4 Alifanya uamuzi ulio sahihi, irrespective of any thing...
jobe ayoub JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 203 Reaction score 100 May 5, 2012 #5 huyo mjanja,anaeona shimo akaruka.nyie mnadumbukia tu pamoja na kuvaa miwani ya macho. mnabakia kutapatapa tu..unalo
huyo mjanja,anaeona shimo akaruka.nyie mnadumbukia tu pamoja na kuvaa miwani ya macho. mnabakia kutapatapa tu..unalo
kibogo JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 9,739 Reaction score 4,745 May 6, 2012 #6 Huyo ni mjanja, kwani we GAMBA kwa matarajio yako huyo mwenyekiti atakayepatikana ataongoza Vijana gani Arusha wote wpo Peeeeeopleeeeeeeeeeeees, labda aongoze wazee na kwa Arusha cheo inabidi kiitwe UWCCM.
Huyo ni mjanja, kwani we GAMBA kwa matarajio yako huyo mwenyekiti atakayepatikana ataongoza Vijana gani Arusha wote wpo Peeeeeopleeeeeeeeeeeees, labda aongoze wazee na kwa Arusha cheo inabidi kiitwe UWCCM.
MANGUNGO JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 1,536 Reaction score 354 May 6, 2012 #7 Masaburi concusion(mtikisiko wa masaburi)ni ugonjwa hatari sana,meza m4c mara 1.utapata nafuu ikizidi kunywa cdm.
Masaburi concusion(mtikisiko wa masaburi)ni ugonjwa hatari sana,meza m4c mara 1.utapata nafuu ikizidi kunywa cdm.
Ruhazwe JR JF-Expert Member Joined Jan 31, 2011 Posts 3,402 Reaction score 927 May 6, 2012 #8 MD25 said: Alifanya uamuzi ulio sahihi, irrespective of any thing... Click to expand... maamuzi sahihi,kwa wakati sahihi,kwa watu sahihi,mahara sahihi,MUNGU IBARIKI CHADEMA
MD25 said: Alifanya uamuzi ulio sahihi, irrespective of any thing... Click to expand... maamuzi sahihi,kwa wakati sahihi,kwa watu sahihi,mahara sahihi,MUNGU IBARIKI CHADEMA
sun wu JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 2,020 Reaction score 1,429 May 6, 2012 #9 Kwani chadema ndio atapata uenyekiti ?.., (in that token argument yako haina logic) lakini in a bigger picture who cares motives zake kwanini kahama kama kuhama kwake kunaibomoa CCM na kuijenga Chadema
Kwani chadema ndio atapata uenyekiti ?.., (in that token argument yako haina logic) lakini in a bigger picture who cares motives zake kwanini kahama kama kuhama kwake kunaibomoa CCM na kuijenga Chadema
Frank Alfred Member Joined May 4, 2012 Posts 12 Reaction score 2 May 7, 2012 #10 jobe ayoub said: huyo mjanja,anaeona shimo akaruka.nyie mnadumbukia tu pamoja na kuvaa miwani ya macho. mnabakia kutapatapa tu..unalo Click to expand... waambie bwana maana wana ccm wamebaki kufukuza upepo tu,pplesssssssssss!
jobe ayoub said: huyo mjanja,anaeona shimo akaruka.nyie mnadumbukia tu pamoja na kuvaa miwani ya macho. mnabakia kutapatapa tu..unalo Click to expand... waambie bwana maana wana ccm wamebaki kufukuza upepo tu,pplesssssssssss!
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,660 May 7, 2012 #11 Wengine wanasubiri nini?Safina ikifungwa haifunguliwi!!