Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 657
- 548
Hizi ndio Sababu zinazonifanya nisimchague Magufuli
1. Kwa sababu yeye na chama chake wameifanya Tanzania kuwa masikini kuliko wakati ule wa ukoloni.
2. Aliwadhihaki wakazi wa Kigamboni na kusema atakayeshindwa kulipa nauli ya 300,apige mbizi
3. Hawezi kuleta mabadiliko akiwa ndani ya chama kilekile kilichoifikisha nchi hapa ilipo.
4. Atafanya kazi na watu walewale
5. Yupo ndani ya nazi mbovu hivyo hawezi kuwa mzima kwenye mfumo huo
6. Kawekwa na kikundi cha watu kulinda maslahi yao
7. Hana sera, anaigaiga tu
8. Hana ukomav wa siasa nje ya nchi
9. Alisema watu wa Buziku watumie kinyesi Chao watengeneze lami
10. Ana maamuzi ya kukurupuka
11. Hajiheshimu.kwa maana ukiwa na akili timamu huwezi kufanya vitu vya kitoto jukwani
12. Hashauriki
13. Wanaompigia kampeni ndio waliosababisha maisha magumu na wimbi kubwa la umasikini pamoja na elimu na afya mbovu hivyo kumchagua nikuchagua shida na matatizo yanayolalamikiwa leo yaendelee.
14. Hajui hata takwimu, siamini juu ya takwimu zake kwa sababu wizara alizoziongoza ni vigumu sana kuhakiki
mfano samaki ziwani huwezi kuthibitisha.
15. Ni muongo maana ameshindwa kujua vitu vidogo kama rais Sadam Hussein kutudanganya kuwa ni wa Kuwait.
16. Anahatarisha Amani ya nchi kwa kusema wakipita wapinzani kutakuwa na vita
17. Ni muongo maana hana kumbukumbu vizuri mfano aliosema atatumia magari kuzunguka nchi yote leo hii nimeona chopper inaandaliwa.
ENDELEZA NYINGINE