x - mas JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 953 Reaction score 669 Jul 24, 2015 #1 habari jamvini!mitetea yangu mitano baada ya Kuomintang'anya mayai na kumpa kuku mmoja alalie hawa walio baki hawajataga tena sasa yapata wiki nne kasoro,inanichanganya sana,
habari jamvini!mitetea yangu mitano baada ya Kuomintang'anya mayai na kumpa kuku mmoja alalie hawa walio baki hawajataga tena sasa yapata wiki nne kasoro,inanichanganya sana,