Kua uyaone mkuu, achana na ndoa za kwenye keyboard. After all usidhani kila mwanamume anafikiri kama wewe. Wako wanaume wenye busara na mapenzi ya kweli kwa wake zao, hao hawana muda wa kuwa na mtazamo dhaifu kama wako. Hujafikia akili ya kuwa na mke hivyo huwezi kuyajua yavndoa, una mtazamo wa kisela halafu unaufananisha na ndoa. NDOA SIO TAASISI YA KIPUUZI MKUU.