loyan20
Member
- Oct 16, 2014
- 29
- 18
Wanaume ambao wanatafuta sababu za kuacha mchepuko lakini wanakosa kisingizio, tafadhali tumia moja ua zaidi ya njia hizi. Ukiwa umekunja uso, muangalie mchepuko machoni kisha kwa hasira sema hivi;
1. Yaani we huniheshimu kabisa. Mi naongea we unaendelea kupumua. Hiyo ni dharau kubwa sana, basi bwana nenda kwa unaemheshimu.
2. Dah kwa hiyo siku hizi unakunywa koka yenye majina ya wanaume wengine, tafadhali nenda salama
kamfuate mtu wako.
3. Hee, umeweka wimbo wa Diamond kwenye simu, lazimu kuna kitu kati ya we na Diamond. Sikutaki tena!
4. Unajua nakushangaa, nimekupigia tu na simu ilipolia mara moja tu ukapokea, ina maana huna kazi ni mtu
unashinda na simu tu. Mi watu wavivu siwawezi. Kwaheri.
5. Kila siku nakwambia napenda chakula kuwa cha moto, wewe unaenda kuninunulia icecream ya baridi, hiyo ni dharau, sikutaki tena.
6. Nimegundua huwa hutoi sadaka kanisani, sasa kama Mungu mwenyewe unamdhulumu mimi si ndio utaniua kabisa. Sikutaki tena.
7. Unajua we mwanamke wa ajabu sana, mara zote nikikukaribia unacheka, unamcheka nani? Nenda kwa
hao wasiochekesha.
..YANI HAPO MSIPOACHANA APIGWE TU..MANA HAMNA NAMNA NYINGINE SASA